Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyanda la boli ndio kasepa
FB_IMG_1757649824145.jpg
 
Mna uhakika huyu ni legend wa bayern
 
Attachments

  • 1757786889866.jpg
    1757786889866.jpg
    271.8 KB · Views: 19
Ni siku nyingine tena tamu kabisa tunaenda kuwashuhudia vijana wa sir barobaro boys dhidi ya vijana wa mzee kipara.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁

My prediction

Man City 1 vs Manchester united 3

watapigwa sana wale

GGMU 👹
1757860549060.jpg
 
GGMU 👹 View attachment 3472057
Mkuu ungekausha ili tujionee kama na leo mngeshinda au la!
 
Kwa sasa hivi, sisi ni timu ya kawaida sana, tumebakisha jina tu basi tupotee mazima,

Wachezaji kama Amad, Mazeoue, Ugarte,Yolo, Dorugu, De Light, Sesko mbeumo si wakucheza Man united, ni wachezaji wa Daraja la chini kabisa, hatuwezi kuachieve chochote na wachezaji hawa, tunasikitisha na hatujui ni lini tutajipata tena.
 
Ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom