Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Vile Amorim anavyo wachezesha wachezaji out of position, baada ya usajili wa Lammes natamani siku moja kuona Onana anachezeshwa kama Midfielder
Screenshot_20250830-135310.jpg
 
Ralf Rangnick on Manchester United: "I pushed for Luis Díaz in January but the club said no. Before leaving, I still cared & gave John Murtough a list of Raya, Timber, Caicedo, Isak. They chose to follow Ten Hag instead. One of the main reasons I left was the club stopped listening to me.”

He was the one who publicly came out and said the club needed an 'open heart surgery'. Today, we can still how big of a job left to be done despite signing one of the best attackers from the Premier League we are still struggling. The surgery goes way back to the top. The viruses are still there and are still ruining our club. Just like we have been crying for a goalkeeper for months now and still the board thinks we have what it takes to play in this league is a total joke. We need football people to run this club!
 
Ralf Rangnick on Manchester United: "I pushed for Luis Díaz in January but the club said no. Before leaving, I still cared & gave John Murtough a list of Raya, Timber, Caicedo, Isak. They chose to follow Ten Hag instead. One of the main reasons I left was the club stopped listening to me.”

He was the one who publicly came out and said the club needed an 'open heart surgery'. Today, we can still how big of a job left to be done despite signing one of the best attackers from the Premier League we are still struggling. The surgery goes way back to the top. The viruses are still there and are still ruining our club. Just like we have been crying for a goalkeeper for months now and still the board thinks we have what it takes to play in this league is a total joke. We need football people to run this club!
Huyu Rangnick na Van Gaal ndio watu ambao tungewapa muda zaidi, tungeona matokeo chanya amapema zaidi. Ila tatizo kubwa lilikuwa kwa Ed na Murtough kwenye kufanya maamuzi ya sajili kibiashara bila kuzingatia kiufundi.

Angalia kwa sasa matatizo ya timu yetu yanaonekana hadi kwa mashabiki wa timu pinzani lakini sisi tumeyafumbia macho halafu tunaenda kumlazimisha Amorin akagombee makombe na kipa Onana na kiungo cha Casemiro/Ugarte.
 
Juzi na burnley huyu dogo nilimuona nikasema tu aende kwa mkopo huko anapotaka
Ana viashiria vyote kuwa msumbufu baadaye, sijui sababu ya Uingereza wake!
Kutokuchezeshwa game 2 tu, media zimeanza #free mainoo, lakini wachezaji wengine wakikosa mechi wala hawaisumbui timu hivyo.
 
🚨 BREAKING

At the start of discussions for Carlos Baleba, conducted through intermediaries, United sensed that Brighton might be open to a sale in the same range as Joao Pedro (£60m), but it later became clear that Brighton would demand an amount similar to that of Moises Caicedo.

United had a contractual agreement with Baleba, who was enthusiastic about joining, after speaking with André Onana, Bryan Mbeumo, and Leny Yoro.

Other midfielders were considered, including Ederson, Angelo Stiller, and Ardon Jashari, while Adam Wharton and Morten Hjulmand have admirers at the club. Corentin Tolisso was a cost-effective option.#MUFC [@lauriewhitwell]
 
Sir Erik ten Hag kwa masikitiko makubwa ametoa taarifa yake rasmi baada ya kutimuliwa na Bayer Leverkusen.

"Uamuzi wa uongozi wa Bayer Leverkusen kunifuta kazi ulikuja kama mshangao mkubwa".

"Kuachana na kocha mkuu baada ya mechi mbili tu za ligi ni jambo ambalo halijawahi kushuhudiwa".

"Msimu huu wa joto, wachezaji wengi muhimu ambao walikuwa sehemu ya mafanikio ya zamani waliondoka kwenye kikosi. Kujenga timu mpya ni mchakato makini unaohitaji muda na uaminifu".

"Meneja mpya anastahili nafasi ya kutekeleza maono yake, kuweka viwango, kuunda kikosi, kuacha alama yake kwenye mtindo wa uchezaji".

"Nilianza kazi hii nikiwa na imani kamili na nguvu, lakini kwa bahati mbaya wasimamizi hawakuwa tayari kunipa muda na uaminifu niliohitaji, jambo ambalo najutia sana. Nahisi huu haukuwa kamwe uhusiano wenye msingi wa kuaminiana".




Ila mwamba alikua na mikwara mikali sana kila Man Utd walipokua wanataka kumtimua.
Jamaa lilijua kututisha na Carabao yake.
images-43.jpg
 
POVU LA ZLATAN IBRAHIMOVIC KWA MANCHESTER UNITED

Zlatan Ibrahimovic: "Kuna jambo moja lililonishangaza sana: kila mtu anadhani Manchester United ni klabu kubwa sana, mojawapo ya matajiri na yenye ushawishi mkubwa duniani. Nilipokuwa naitazama klabu hiyo kutoka nje, niliamini hivyo pia."

"Lakini nilipofika ndani, nilikuta ni taasisi yenye mawazo ya kitoto."

"Siku moja tulikuwa hotelini na timu kabla ya mechi. Nikahisi kiu, nikafungua friji ndogna nikanywa juisi ya matunda."

"Tulicheza mechi, kisha kila mtu akarudi nyumbani. Baadaye nikapokea mshahara wangu, na nikagundua wamekata paundi moja (pauni 1 – takriban shilingi 3,500). Nikashangaa, nikampigia meneja wa timu:"

‘Samahani, mbona wamekata paundi moja kwenye mshahara wangu?’
Akanijibu: ‘Ni kwa sababu ya ile juisi uliyokunywa kwenye mini bar ya hoteli.’
Nikasema: ‘Unaongea kweli? Hii ni mzaha?’
Akasema: ‘Hapana, hapa kwetu ukiagiza kitu chochote, lazima ukilipe.’

Zlatan akaendelea:

"Lakini sikuenda hotelini kwa mapumziko yangu binafsi, nilikuwa kazini – kwa ajili ya Manchester United. Kama nipo kazini na nahisi kiu, lazima nijinyweshe. Siwezi kwenda kucheza mpira nikiwa nimekauka! Hata hivyo walinikata pesa hiyo. Unaweza kuamini? Paundi moja tu! Hii ni aina ya mambo madogo ambayo hayawezi kutokea nchini Italia. Ni mambo kama haya madogo madogo yanayofanya mchezaji aheshimu klabu au ahisi kutothaminiwa."

"Kila siku nilipokuwa naingia kwenye uwanja wa mazoezi, nilitakiwa kuonyesha kitambulisho changu. Nilikuwa nashusha kioo cha gari na kumwambia mlinzi:

'Sikiliza ndugu yangu, nimekuwa nikija hapa kila siku kwa mwezi mzima sasa. Mimi ni mchezaji bora duniani. Kama bado hunitambui, basi uko kwenye kazi isiyokufaa.'”

Kenny Anjelina Maradona
 
Back
Top Bottom