fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,399
- 9,822
Timu yetu haijaimarika vya kutosha kama top contenders ila media zinatuumiza zaidi kwa kukuza madhaifu ya kawaida yaonekane makubwa kivile.
Nadhani kocha anatakiwa awekeze kuijenga saikolojia ya wachezaji wake zaidi kuliko wakati wowote ule.
Nadhani kocha anatakiwa awekeze kuijenga saikolojia ya wachezaji wake zaidi kuliko wakati wowote ule.