Mdo mdo mpaka atajaaa kwenye mfumoKwanini Sesko hakucheza toka mwanzo?
Anatumia Cunha kocha anamuingiza Zikzee wakati Sesko yuko bench,Dalot ni kati ya wachezaji wasio na sofa ya kuchezea United
Huyo Sesko mnavyomlilia Kama vile bonge la striker anachofanya Kocha wenu kukuondolea pressure maana ni kijana mdogoKwajinsi tunavyocheza sioni kabisa Amorim akitoboa huu msimu..
Sesko anahaki ya kukosanraha
Sio hamtendei haki sesko anamuondolea pressure kumbuka Sesko sio proven striker na ni mchezaji mdogo, msimu wake Bora wa bundesliga kafunga goal 13 tu Tena kwenye ligi nyepesi Kama hiyo.Mahitaji ya ligi kuu ya EPL inahitaji energy haswa so anamtengeneze mazingira ya taratibu ya kuingia kwenye kikosiDalot baada ya kumsema tu akaanza kuwa wa moto, amecheza vizuri sana leo.
Kocha hamtendei haki Sesko.