Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Noise neighbours
 

Attachments

  • Screenshot_20250831_215640_FotMob.jpg
    Screenshot_20250831_215640_FotMob.jpg
    40.1 KB · Views: 16
🚨🚨: Sir Alex Ferguson on Ruben Amorim: “At some clubs, you need only to lose three games in a row and you're fired. In today's football world, with a new breed of directors and owners, I am not sure any club would have the patience to wait for a manager to build a team over a four-year period. Winning a game is only a short-term gain – you can lose the next game. Building a club brings stability and consistency."

Three years later, in 2015, Ferguson spoke to ESPN and maintained that by sticking with a manager, "you get consistency and you get success."

There's no evidence that sacking a manager gives you success," Ferguson said.

"But there is evidence at Manchester United, at Nottingham Forest, at Arsenal that [if] you retain the manager for long periods, you get consistency and you get success."

What happens next with Amorim remains to be seen, but based on his previous quotes, it’s fair to say Ferguson believes he should be given at least some more time.
 
Liverpool wametumia zaidi ya Paund 420M, Man U 200 tu kelele nyingi eti matumizi makubwa ya pesa...mwageni noti mlete Baleba
 
Ukiacha kiungo tatizo kubwa la utd ni kipa. Hili halina ubishi tangu Sir Ferg aondoke timu imekuwa ikisaidiwa na uwezo binafsi wa De gea na ndio maana tulikuwa tunaenda Eufa na Eropa. Karibu kila mechi De gea alikuwa anafanya impossible save ambazo hakuna kipa EPL na ulaya alikuwa akifanya. Sasa hawa kina Onana badala ya kusave wanatuchoma.
 
Shaolin monki(Ten hag) wameshapita nae ila bayern liverkusen sijui waliwaza nini kumchukua huyo kocha.
 
Usajili wa Lammens unatupa uhakika wa kumalizia big 5,hapo leta Baleba tuchukue kabisa IPielo😁
 
Yani unaacha kutafta kipa mdogo wa maana unaenda kwa Dibu?? Ivi hii Manjesta kweli iko serious binafsi Dibu na Onana namchukua Onana
 
felakuti lenne lammens tayari huko nimeupenda huu usajili ukizingatia umri wake pia bado ni mdogo miaka 23. Bora wameachana na huyo martinez ukizingatia umri umeenda.
Yes ni nzuri sana nimependa ..pia nimependa staili ya timu sijui kama wametoa hela ndani ya klabu, unauza , hela uliyopata unanunua...huyo sancho hauziki??? Yan Kuna wachezaji wanatakiwa wasirudi tena hio timu bumbavu ....ila yule .pumbavu kipara alaaniwe...aliwaharibu scot na greenwood , akaleta makapi yake..na greenowood wkaaleta mambo ya uingereza kubaka kitu Gani bwana wale walikua wanajuana mbona saivi wako pamoja...
 
Yes ni nzuri sana nimependa ..pia nimependa staili ya timu sijui kama wametoa hela ndani ya klabu, unauza , hela uliyopata unanunua...huyo sancho hauziki??? Yan Kuna wachezaji wanatakiwa wasirudi tena hio timu bumbavu ....ila yule .pumbavu kipara alaaniwe...aliwaharibu scot na greenwood , akaleta makapi yake..na greenowood wkaaleta mambo ya uingereza kubaka kitu Gani bwana wale walikua wanajuana mbona saivi wako pamoja...
Ndio hivyo kikubwa tuendelee kutengeneza timu na pia amorim apewe tu mda na tuache kusikiliza media maana zinaleta presha kubwa sana na kuharibu timu kisaikolojia.
 
YUle martinez anafaa mdau maana ana uzoefu na epl

Huyu lammens mpaka aje azoeee ligi tutakua tushamaliza matusi yote humu
Amorin yupo sana united...yaan nahisi madirisha YAJAYO tutasajili sana midfielders na wing backs....
Acha aje huyo lammens tu mkuu, kama uzoefu wangemrudisha tu de gea lakini hii ni project mpya tunajenga....nahisi kiungo tunaweza kumpata dirisha hili au January.

Kama kocha akiwa vizuri kwenye team selection, tunaweza maliza top four
 
Liverpool have spent over €500m in this transfer window. That’s more than Sir Alex Ferguson spent in his entire career at Man United

~AH
 
Back
Top Bottom