Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii timu ni mbovu ajabu[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kesi ishakua ngumu kaka, Amorim kamkuta Garnacho chooni anacheka mpaka ameanguka chini kwa hasira kamfungia komeo kwa nje.
410895218.jpg
 
Yule mtoto anajiona kama Messi mtupu vile[emoji3][emoji3]...ngoja kaje Chelsea kaanze kuwaringia na nyie....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau2004 mbona unawasanau mapema, hautaki turudishe ile pesa yetu tuliyopigwa kwa Mount?
 
Shenzi nyinyi hamjamsikia pole pole?, nendeni ccm mkaunganishwe kwenye li waya muwe mnashinda game zenu kwa wizi au nyinyi ndio wana mtandao nyumbu's. Kwanza amkeni mtoke humu ndani mnatumalizia hewa.
 
Ni kweli tatizo linaweza kuwa sio mfumo ila timu yetu inakosa balance hapa lazima moja kati ua Cuhna au Bruno awe anaanzia bench au Brino asepe af kocha aache kunanzisha Mount huku straiker anaaznzia bench.
Mkuu sijui huwa unaiangalia Mannjesta ipi.

Mbona timu Ina balance fuleshi tuu.

Waulize Arsenal wiki iloisha

Walitufunga, ila chamoto walikiona
 
Back
Top Bottom