Alishawahi kupiga kama Ile Kipindi cha Ten Hag, Bruno ni mchezaji Yuko na emotional Sana, ana temper mbaya Sana ambayo sometimes inatucost kama timu.Mpira wa Bruno umenipita hapa maeneo ya gongo la mboto uko Kasi kwli😀😀😀....ile penalty yule lofa alikuwa anakusudia nn