Luigi Mangione
JF-Expert Member
- Jan 2, 2024
- 725
- 1,229
Na waangalia real Madrid naona wamekuwa aggressive sana ku win balls back
Huyo ni madueke efusiii anawasanifu tu.Arsenal ndio reference yenu? Mtashuka daraja nyumbu nyie
Nyumbu walivyo hamnazo wanajua wewe ni mwenzao hawajashituka hata kuangalia profile.Mkuu sijui huwa unaiangalia Mannjesta ipi.
Mbona timu Ina balance fuleshi tuu.
Waulize Arsenal wiki iloisha
Walitufunga, ila chamoto walikiona
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kocha la bolu.Ruben Amorim joined Manchester United in 2024, following his departure from Sporting [emoji837]
…and his Premier League record has been [emoji43][emoji94]
[emoji148] 29 games played
[emoji3514] 7 wins
[emoji810] 7 draws
[emoji777] 15 losses
Anakuja kwenye team ya makombe anawezaje kuringa mtu Kama Reece James ana UEFA, kaka yake Enzo Fernandez ana kombe la Dunia, Cucurella ana UEFA national league, club bingwa ya dunia n.k mtu Kama Bruno Fernandes ana Nini chakumtuliza dogo au AmorinYule mtoto anajiona kama Messi mtupu vile😀😀...ngoja kaje Chelsea kaanze kuwaringia na nyie....
Chelsea sio team ya kupigwa kijana inajua biashara haiwezi kutoa zaid ya pound 45M[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau2004 mbona unawasanau mapema, hautaki turudishe ile pesa yetu tuliyopigwa kwa Mount?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Oyaaa wanangu nina picha ya kocha wa ball Rúben Amorim kipindi bado mdogo amevaa jezi ya Arsenyau timu ya ndoto yake niwawekee humu au nikaushe kwanza?
😁 Amorim kichwa maji alafu eti anataka akae miaka 20 OT 🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Oyaaa wanangu nina picha ya kocha wa ball Rúben Amorim kipindi bado mdogo amevaa jezi ya Arsenyau timu ya ndoto yake niwawekee humu au nikaushe kwanza?
naam huyo ndo Sir. Alex Ruben AmorimRuben Amorim joined Manchester United in 2024, following his departure from Sporting
…and his Premier League record has been 29 games played
7 wins
7 draws
15 losses
Embu ilete mkuu😃😃[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Oyaaa wanangu nina picha ya kocha wa ball Rúben Amorim kipindi bado mdogo amevaa jezi ya Arsenyau timu ya ndoto yake niwawekee humu au nikaushe kwanza?