Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna uwezekano game ya man u vs arsenal, ni arsenal walicheza vibaya na sio vinginevyo
nyie jamaa mmewapa man utd matumain makubwa sana ila kiukweli hii timu ina shida 3-5 nzito
1 bruno
2 hakuna Dm bora hapo kati ni makida makida tu
3 hakuna chemistry in attack wako wako tu itawachukua muda sana ku settle
4 kipa aisee
5 kocha ni mbishi hataki kuwa flexible kubadili formation itakuja kum cost timu inacheza hairidhishi hata
 
Hii kauli ni zaidi ya ukweli.
Madrid akikuuzia mchezaji jua huyo ameona mambo mawili,mosi amehit top level ya uwezo wake au hana potential ya maana.ila Madrid hawez kamwe kuuza mchezaji ambaye ni real potential world class au ana kiwango Cha maana.in short Madrid wanauza rejects tu
Hadi kwa Ozil?
 
nyie jamaa mmewapa man utd matumain makubwa sana ila kiukweli hii timu ina shida 3-5 nzito
1 bruno
2 hakuna Dm bora hapo kati ni makida makida tu
3 hakuna chemistry in attack wako wako tu itawachukua muda sana ku settle
4 kipa aisee
5 kocha ni mbishi hataki kuwa flexible kubadili formation itakuja kum cost timu inacheza hairidhishi hata
Hapo kwenye ubishi wa kocha nadhani ndio kitu kitakachomtoa pale united kabla ya Christmas. Timu inatia aibu na huruma kuitazama.

Wachezaji wanajaribu kupeanapeana mipira, wakiona wamekabwa kidogo wanarudishiana mpira nyuma na wanaogopa kwenda mbele. Hakuna mipango, hakuna mbinu za kwenda mbele,
 
Hapana. Huu mfumo ndo wenyewe Sasa.

Huu ndo Conte alibeba EPL 16/17

A stick na mfumo, uta click tuu mbele kwa mbele
Ni kweli tatizo linaweza kuwa sio mfumo ila timu yetu inakosa balance hapa lazima moja kati ua Cuhna au Bruno awe anaanzia bench au Brino asepe af kocha aache kunanzisha Mount huku straiker anaaznzia bench.
 
Aisee hii timu ni mbovu kiseng hata kupiga pass ni nzuri ni shida sijui ilikuwaje mkawa manaisifia siku aliyocheza na arsenal au wale jamaa walijua ni pre season bado
Hiki ni kikundi Cha watu machachari sio timu ya mpira....yule Cunha ni mtu wa Karate na shehe Mbeumo yy ni Mzee wa mizuka😀😀...Sesko ameenda rasmi kuangamiza kipaji chake....Bora angejiendea Nyukesto maskini
 
Hapo kwenye ubishi wa kocha nadhani ndio kitu kitakachomtoa pale united kabla ya Christmas. Timu inatia aibu na huruma kuitazama.

Wachezaji wanajaribu kupeanapeana mipira, wakiona wamekabwa kidogo wanarudishiana mpira nyuma na wanaogopa kwenda mbele. Hakuna mipango, hakuna mbinu za kwenda mbele,
Msimuangushie kocha lawama. Hata huyu Bruno pia ni zaidi ya hasara kwanza leo kawakoseha ushindi. Mechi ya leo ilitakiwa kuleta matumaini kwenu na si vingenevyo
 
Huu mpira wa kisasa umekuja kuwa wa kingese kweli... mchezaji anasajiliwa zaidi ya wiki mbili anafanya training halafu anaanzia bench kmk.

Wiki ya kwanza ukiuliza unaambiwa fitness, gameweek 2 yupo tena bench... utaambiwa anazoea mfumo wa kocha.

Mpira umekuja kuwa na ungese-ungese sana, details nyingi halafu uwanjani hamna kitu.

Striker ni moja ya position sioni utofauti kwenye majukumu yao, ila ungese wa modern football mpaka striker ameongezewa majukumu.
Sesko ni average player na ligi ya uingereza inahitaji mchezaji ambaye Yuko fiti kwa asimilia 100 ingekuwa ametoka EPL ingekuwa ni rahisi kuadapt mnamuonea bure kocha kwenye hili
 
Back
Top Bottom