Paz3i
JF-Expert Member
- Oct 11, 2014
- 1,038
- 1,523
😁 Amorim kichwa maji alafu eti anataka akae miaka 20 OT 🤣Oyaaa wanangu nina picha ya kocha wa ball Rúben Amorim kipindi bado mdogo amevaa jezi ya Arsenyau timu ya ndoto yake niwawekee humu au nikaushe kwanza?
