Sio suala la mapenzi jezi ya Chelsea ni nzuri ukilinganisha na msimu uliopita mbona jezi ya Liverpool nimeisifia ni Kali mnoHawezi kukuelewa. Mapenzi ya Chelsea yamempofua.
Sio suala la mapenzi jezi ya Chelsea ni nzuri ukilinganisha na msimu uliopita mbona jezi ya Liverpool nimeisifia ni Kali mnoHawezi kukuelewa. Mapenzi ya Chelsea yamempofua.
Sio suala la mapenzi jezi ya Chelsea ni nzuri ukilinganisha na msimu uliopita mbona jezi ya Liverpool nimeisifia ni Kali mno
Ya msimu uliopita ilikuwa ni mbaya msimu huu ndio naiona ni nzuri we subiri waweke mdhamini mkuu pale mbele utaiona ilivyo nzuriUnamaanisha ni nzuri ukiilinganisha na ya msimu uliopita au siyo mbaya kama ya msimu uliopita?
Benjamin sesko tayari, mda sio mrefu tutasikia here we go kutoka kwa fabrizio.


Hizo sajili 2 zikikamilika tu, nawashauri Arsenyau wasilete timu uwanjani hio tarehe 17, la sivyo zile goli 8 tunaenda kuzifanyia anniversary.
Hivi hili suala la Donnaruma kuondoka Parc des Prince akiwa katika ubora ule shida nini kwa mwenye uelewa?Hizo sajili 2 zikikamilika tu, nawashauri Arsenyau wasilete timu uwanjani hio tarehe 17, la sivyo zile goli 8 tunaenda kuzifanyia anniversary. View attachment 3427159
Hivi hili suala la Donnaruma kuondoka Parc des Prince akiwa katika ubora ule shida nini kwa mwenye uelewa?
Hamna timu iliyokubuu kwa uhuni kama chelwowo hivi, mlitaka kutuona maboya ili mtupe Jackson.Wazee naona mnatuuzia Kambale.
Wazee naona mnatuuzia Kambale.


Chikueni mali hiyo, tena ikiwezekana lipieni hata £80m chap achaneni na mambo ya mikopo.
Christiano Ronaldo, uhakika ndani ya misimu miwili ijao Madrid wanakuja kuwavua kwa zaidi ya £200mHizo sajili 2 zikikamilika tu, nawashauri Arsenyau wasilete timu uwanjani hio tarehe 17, la sivyo zile goli 8 tunaenda kuzifanyia anniversary. View attachment 3427159
Ni dhahiri huyu tunampata na nirasmi sasa utd inaenda kuwa timu ya ushindani kwan shida kubwa ya utd ukiacha zile ndogo ndogo kama za kiungo na gosl keeper, ni kupachika magoli. Tumekuwa hatufungi magoli licha ya nafasi nyingi tunazotengeneza. Sasa usajili wa wakati huu utaleta magoli na assist za kutosha.View attachment 3426459
Sasa ni rasmi, Fabrizio kapost dakika chache zilizopita, na nilikua nasubiria fabrizio athibitishe tu na kafanya ivyo ivyo
Manchester United tunaandaa bid ya Sesko rasmi, na kama mjuavyo, dogo ameshakiri yeye ni UTD die hard fan
Zile assist za bruno, mbeumo, cunha na amad dogo ashindwe yeye tu
Flop Hilo hamna kitu hapo mchezaji anamuogopa Kai ni mchezaji huyo😂😂😂Ni dhahiri huyu tunampata na nirasmi sasa utd inaenda kuwa timu ya ushindani kwan shida kubwa ya utd ukiacha zile ndogo ndogo kama za kiungo na gosl keeper, ni kupachika magoli. Tumekuwa hatufungi magoli licha ya nafasi nyingi tunazotengeneza. Sasa usajili wa wakati huu utaleta magoli na assist za kutosha.
Sasa huyo kai anakipi cha maana kwa sasa. Sesko ana akili kubwa sana, nikupoteza mda kwenda Netflix arsenal na ushinde makombe makubwa.Flop Hilo hamna kitu hapo mchezaji anamuogopa Kai ni mchezaji huyo😂😂😂
Muulize sesko kwanini aliogopa kwenda arsenalSasa huyo kai anakipi cha maana kwa sasa. Sesko ana akili kubwa sana, nikupoteza mda kwenda Netflix arsenal na ushinde makombe makubwa.
Sesko ana jina kubwa?Binafsi sitamani kabisa kuona wachezaji wenye majina makubwa wanasajiliwa msimu huu, haya majina makubwa hayajawahi kua na msaada wowote tangia kuondoka kwa Ferguson, msimu huu ningependa kuona Amorim anawaamini zaidi madogo na kuwapatia nafasi ya kutosha, na kama kuna umuhimu mkubwa wa kusajili mchezaji mwenye uzoefu basi tusisajili nje ya Epl na mchezaji mwenyewe atakaesajiliwa aoneshe nia ya dhati ya kuipenda timu kama ilivyokua kwa Brian Mbeumo.
Siamini kama timu haina pesa ya kusajili wachezaji wa bei ghali maana juzi tu matajiri walikuja na project ya kutaka kujenga uwanja mpya, ila ninaamini msimu huu management imejitathmini kwa kina na kuona ni kwa namna gani jinsi wao wenyewe wanavyochangia kurudisha nyuma maendeleo ya timu kwa sajili zao za gharama kubwa kwa malengo ya kibiashara zaidi kuliko kuboresha ufanisi wa club.
GK si huyo tunamtaka kwa mkopo...golikipa wa kimataifa unamtaka kwa mkopo ..haya...striker si ndio huyo sesko tunajivuta kama wenye mabusha Hadi Newcastle wameshatuma ofa na inaelekea kukubaliwa ...Sir Jim " tunajenga uwanja wa 100,000 attendance, hii itatupa mapato zaidi kwenye viingilio kuliko timu yoyote england na itafanya tuweze kusajili Kwa nguvu kubwa sokoni, hii mashabiki katika mwanzo wake hawawezi kuelewa lakini ni project ambayo italipa na sisemi inazuia sisi kusajili, hapana lakini inatupa njia ya nini tufanye."
Cunha na mbeumo...tupate striker, GK na middle Moja....top four uhakika....timu ipo vizuri, naamini project ya 2028 kuchukua EPL hii inalipa na viongozi mipango wanayo.
Wote wanakuja united...sesko na donarumaGK si huyo tunamtaka kwa mkopo...golikipa wa kimataifa unamtaka kwa mkopo ..haya...striker si ndio huyo sesko tunajivuta kama wenye mabusha Hadi Newcastle wameshatuma ofa na inaelekea kukubaliwa ...