Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tulia wew kama kudus alikataa kwenda Newcastle ndio ujue hakuna mchezaji anayejitambua atakubali kwenda Newcastle. Anthony elanga ni kwa sababu alikosa timu kubwa zaidi ya Newcastle zinazomtaka ila zingekuepo wala asingekwenda Newcastle
Chance ya sesko kuja unyumbuni ni 35%

Akija itakua vizuri, ili kusiwe na vizingizio
 
Bila Newcastle kumpata sesko hamuwezi kuuziwa Isak Newcastle ni tofauti na hizo team nyingine zenye njaa
hivi unadhani ile £ 150m hatuwezi kuifikia, still PSR kwa upande wetu inaturuhusu. hofu ya Newcastle ni kuuziwa Benjamin Sesko kwa bei ya juu sana that' s why wanataka kufinalize deal la Sesko kabla ya kumuuza Isak, unajua ni kwanini? Endapo Watamuuza Isak mapema RB Leipzig watakuwa na Luxury ya price tag since inajulikana Newcastle hawatokuwa tayari kwenda Champions League bila Striker wakueleweka ilhali wamepokea mpunga wa kutosha kwa mauzo ya Isak
 
Mkuu Newcastle hawawezi kumuachia isak Kama hawatampata sesko hata kama mtoe pesa kiasi gani
 
GK si huyo tunamtaka kwa mkopo...golikipa wa kimataifa unamtaka kwa mkopo ..haya...striker si ndio huyo sesko tunajivuta kama wenye mabusha Hadi Newcastle wameshatuma ofa na inaelekea kukubaliwa ...
Wapi imesemwa inaelekea kukubaliwa? Fab hajasema, Dan hajasema na Ben Jacobs hajasema pia. Na kubwa zaidi mchezaji mwenyewe anaitaka United - kimsingi agent wa Seśko ni shabiki wa United. Na Leipzig wamekataa hiyo bid ya Newcastle. United walishasema wao watatoa bid rasmi baada ya Newcastle na kama mchezaji anataka kuja United. Hii ndiyo approach United waliitumia kwa Cunha na Mbeumo.
 
Sizani kama sesko ataenda Newcastle, kumbuka makubaliano na club. Ni tofauti kwenye kukubaliwa na mchezaji. Mwenye presha kubwa sana na mchezaji(sesko) ni Newcastle sababu ya Isak anayetaka kuondoka hivyo Newcastle wanataka striker kwa hali yoyote kabla EPL league haijaanza.

According to Fabrizio romano, ni kwamba Newcastle wamekataa ofa ya pound million 120, iliyopelekwa na Liverpool ili kumchukua isak. Kwahyo hapa utaona hata Liverpool pia wanaomba sesko aende Newcastle hii itasaidia wao kumpata isak. Tukirudi kwa man united ni kutokana na sera yake mpya ya usajili inayotaka mchezaji kuipenda club na hii amelisema hata Flano maana tumeona kwa mbeumo pia alivyowakataa Tottenham.

Ndio maana Manchester united, kupitia kwa director Christopher vivel ambaye alishafanya kazi na leipzig, wanafanya contact na mchezaji sesko pamoja na agent wake. kuhusu malengo ya club n.k na sesko amekubali kuchezea man united hata kama hatupo UEFA champions league. Lakini pia wameshafanya contact na leipzig na wako tayari pia kutoa pesa kwa leipzig. Lakini ambacho hawataki man united ni kuingia kwenye mtego wa Newcastle na leipzig kwa kutoa pesa kubwa kwa sesko.
Ndio maana wanamsubiria sesko ambaye amesema mda c mrefu atamake decisions baada ya kuongea na familia yake kuhusu future yake na club ipi ataenda kuchezea kati ya Newcastle na Manchester united.
Spot on, mkuu. Huu ndiyo ukweli wa kinachoendelea kwenye saga hii
 
View attachment 3426459
Sasa ni rasmi, Fabrizio kapost dakika chache zilizopita, na nilikua nasubiria fabrizio athibitishe tu na kafanya ivyo ivyo

Manchester United tunaandaa bid ya Sesko rasmi, na kama mjuavyo, dogo ameshakiri yeye ni UTD die hard fan

Zile assist za bruno, mbeumo, cunha na amad dogo ashindwe yeye tu
Naona hapo IG Ushatia na Vote to MUFC 😄.
 
hivi unadhani ile £ 150m hatuwezi kuifikia, still PSR kwa upande wetu inaturuhusu. hofu ya Newcastle ni kuuziwa Benjamin Sesko kwa bei ya juu sana that' s why wanataka kufinalize deal la Sesko kabla ya kumuuza Isak, unajua ni kwanini? Endapo Watamuuza Isak mapema RB Leipzig watakuwa na Luxury ya price tag since inajulikana Newcastle hawatokuwa tayari kwenda Champions League bila Striker wakueleweka ilhali wamepokea mpunga wa kutosha kwa mauzo ya Isak
Liverpool washasema hawata bid tena kama Newcastle haitokuwa tayari kufanya mazungumzo. Sasa wewe ni nani useme hayo?
 
walisikika Chelkenge kuwaambia nyumbu "nyie mchukueni Sesko ili Newcastle wakaze kwa Isak, isije liverpool wakatupa tabu"
Chelkenge wanatamani Sesko aende Newcastle ili watupige tena kwa Michael Jackson.
Yaani hawa Kenge wanajua kabisa pesa zao za burebure wanazipatia kwa Arsenyani, Unyumbuni na Uarabuni.
1438716239.jpg
 
Chelkenge wanatamani Sesko aende Newcastle ili watupige tena kwa Michael Jackson.
Yaani hawa Kenge wanajua kabisa pesa zao za burebure wanazipatia kwa Arsenyani, Unyumbuni na Uarabuni. View attachment 3429500
Sisi ndio tunataka sesko aje kwenu ili Newcastle wasimuuze isak kwenda Liverpool kwasababu huyo sesko ni striker wa kawaida sana anazidiwa na hata Jackson
 
Back
Top Bottom