Manchester United (Red Devils) | Special Thread

fuentte felakuti Fabrizio anasema isak keshawambia huko Newcastle tayari kwamba anataka kwenda Liverpool kwahiyo tutegemee here we go soon. Management ya Liverpool hawana utani msimuu huu dah inabidi tuzibe nasie vilaka sehemu muhimu maana bila hivyo tutakuja kuzalilika vibaya mno tukikutana na Liverpool.
Wale jamaa msimu huu wako serious sana utadhani waliponea chupuchupu kushuka daraja.

Kwa mtizamo wangu, Liverpool wanalenga mashindano ya Ulaya hasa kwa kipindi hiki ambapo timu kubwa nyingi kama Madrid, Bayern na City ziko kwenye rebuilding mode.

United haiko wazi sana kinachotukwamisha kwenye usajili ni pesa au wameongeza umakini kwenye kusort wacheza na kuepuka ku splash pesa kwa wachezaji wa kawaida. Ngoja tuone mwisho wa dirisha na mwanzo wa msimu matokeo yatakuwa nini.
 
Sisi Chelsea tulikubali kuanza chini na kukubaliana na project ya wamiliki wapya ambao hao wamekuja na project ya kununua wachezaji vijana wenye vipaji wengi karibia kila position then katika hao wapo wataoingia kwenye squad na wengine hutolewa mkopo kwa kukua na wengine huuzwa ili kutengeneza profit na Sasa ndio inatulipa baada ya kustruggle hii misimu miwili, walichofanya wamechagua sports director na scout wazuri hao ndio wamewasajili Caicedo, Enzo, Palmer, Estevao n.k ambao moja kwa moja wanatakiwa kufit mfumo wa Enzo Maresca angalia Sasa matunda yanaanza kuonekana. Nyinyi mnafeli kwenye usajili hasa wachezaji wanakuwa hawafit mfumo wa kocha na ndio maana wachezaji wenu wanaonekana ni mizigo
 
Wale jamaa msimu huu wako serious sana utadhani waliponea chupuchupu kushuka daraja.

Kwa mtizamo wangu, Liverpool wanalenga mashindano ya Ulaya hasa kwa kipindi hiki ambapo timu kubwa nyingi kama Madrid, Bayern na City ziko kwenye rebuilding mode.

United haiko wazi sana kinachotukwamisha kwenye usajili ni pesa au wameongeza umakini kwenye kusort wacheza na kuepuka ku splash pesa kwa wachezaji wa kawaida. Ngoja tuone mwisho wa dirisha na mwanzo wa msimu matokeo yatakuwa nini.
Hapo nimekuelewa mkuu
 
Attachments

  • 20250725_201538.jpg
    20250725_201538.jpg
    320.1 KB · Views: 11
Tulipofikia tunatia huruma lakini tusilalamike saana bali tupambane tu na changamoto zetu. @ bagabeach anasema tuiamini hii project, hivyo mda ni mwalimu mzuri.
Kaka hii timu kipindi kile alitakiwa apewe yule mwarabu na alikua anaipenda sana ..na alikua na viision kubwa ya kuintransform.hii timu ila ushenzi ushenz wa waingereza ...mbona man city waliweza kukataa ushenzi wa uingereza....binafsi nataka ishuke daraja kabisa. Amorim leo kasema "we are going to suffer more" ...
 
Timu itafaa sana msimu huu...lakini tusajili kiungo, striker na GK
 
Kiukweli nililamika sana sheikh jasmini kunyimwa hii timu na alikua ameweka dau kubwa la kusajili na kuvunjia mikata wachezaji takataka wote wasio kua na ubora pamoja na hela ya kujenga uwanja mpya, ila glazzers hii timu wameiharibu wao kabisa. Lakini kushuka daraja hapana mkuu itakua ni aibu kubwa kwakweli.
 
Timu itafaa sana msimu huu...lakini tusajili kiungo, striker na GK
Mkuu mim sijawah kuona.viongoz na management mbovu na ya kizambe kama ya hii timu aise...unawaona Liverpool ?
Sesko yupo hata kutuma offer wamekalisha tu mambupu wanataka watu kwa.mikopo..
 
Kwahy bado kipa ni Onana? 😂

Hv mnamjua jamaa fulani anaitwa Joao Pedro mwenye mafanikio makubwa kuliko wachezaji wote wa arsenyeto na nyumbuz kwa pamoja tangu hizo timu zianzishwe ndani ya wiki mbili?

Mtashangazwa 😂
 
Mkuu mim sijawah kuona.viongoz na management mbovu na ya kizambe kama ya hii timu aise...unawaona Liverpool ?
Sesko yupo hata kutuma offer wamekalisha tu mambupu wanataka watu kwa.mikopo..
Striker na GK tutanunua. United imeshasajili wachezaji wakubwa toka Ferguson aondoke lkn hatukurudi kweny ubora.
Sasa huu uongozi mpya umeweka project ya kuchukua EPL 2028.
Manake tuko makini na timu inajengwa taratibu bila kutumia pesa nyingi sokoni

Man u pesa ipo, lkn project kwanza
 
Bagabeach Flano ze-dudu Mbabani NtYga Greatest Of All Time. Mtie neno hapa kama sababu ni financial fair play au kuna tatizo lingine.
Binafsi sitamani kabisa kuona wachezaji wenye majina makubwa wanasajiliwa msimu huu, haya majina makubwa hayajawahi kua na msaada wowote tangia kuondoka kwa Ferguson, msimu huu ningependa kuona Amorim anawaamini zaidi madogo na kuwapatia nafasi ya kutosha, na kama kuna umuhimu mkubwa wa kusajili mchezaji mwenye uzoefu basi tusisajili nje ya Epl na mchezaji mwenyewe atakaesajiliwa aoneshe nia ya dhati ya kuipenda timu kama ilivyokua kwa Brian Mbeumo.
Siamini kama timu haina pesa ya kusajili wachezaji wa bei ghali maana juzi tu matajiri walikuja na project ya kutaka kujenga uwanja mpya, ila ninaamini msimu huu management imejitathmini kwa kina na kuona ni kwa namna gani jinsi wao wenyewe wanavyochangia kurudisha nyuma maendeleo ya timu kwa sajili zao za gharama kubwa kwa malengo ya kibiashara zaidi kuliko kuboresha ufanisi wa club.
 
Back
Top Bottom