Sizani kama sesko ataenda Newcastle, kumbuka makubaliano na club. Ni tofauti kwenye kukubaliwa na mchezaji. Mwenye presha kubwa sana na mchezaji(sesko) ni Newcastle sababu ya Isak anayetaka kuondoka hivyo Newcastle wanataka striker kwa hali yoyote kabla EPL league haijaanza.
According to Fabrizio romano, ni kwamba Newcastle wamekataa ofa ya pound million 120, iliyopelekwa na Liverpool ili kumchukua isak. Kwahyo hapa utaona hata Liverpool pia wanaomba sesko aende Newcastle hii itasaidia wao kumpata isak. Tukirudi kwa man united ni kutokana na sera yake mpya ya usajili inayotaka mchezaji kuipenda club na hii amelisema hata
Flano maana tumeona kwa mbeumo pia alivyowakataa Tottenham.
Ndio maana Manchester united, kupitia kwa director Christopher vivel ambaye alishafanya kazi na leipzig, wanafanya contact na mchezaji sesko pamoja na agent wake. kuhusu malengo ya club n.k na sesko amekubali kuchezea man united hata kama hatupo UEFA champions league. Lakini pia wameshafanya contact na leipzig na wako tayari pia kutoa pesa kwa leipzig. Lakini ambacho hawataki man united ni kuingia kwenye mtego wa Newcastle na leipzig kwa kutoa pesa kubwa kwa sesko.
Ndio maana wanamsubiria sesko ambaye amesema mda c mrefu atamake decisions baada ya kuongea na familia yake kuhusu future yake na club ipi ataenda kuchezea kati ya Newcastle na Manchester united.