King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,314
- 5,987
Sesko lazma aje hili sikatai ila kwa cdm baleba ni moto ngoja tuone Ruben na uongozi watafanya niny? Kuhusu CDM.Baleba Yuko sawa lakini naona kocha anamtaka hojlmund wa sporting Lisbon, pia baleba wale Brighton kwenye biashara Wana bei za juu tusubrie...sesko ndio amebakia sokoni naona anafaa huwezi mlinganisha na hojlund...