Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

View attachment 3426025

Eti unampiga Bournemouth nne kwenye preseason unaiita Un-fourgettable experience 😀 😀 😀 😀. Je ukimpiga Madrid 3-0 kwenye robofainali ya Champions League utasemaje? 😀😀😀.

Standards...
Kwetu sisi hiki ni kitu kikubwa sana mkuu, tuache tupumue kidogo kabla ligi ya mateso haijaanza.
 
IMG_5390.png

Sasa ni rasmi, Fabrizio kapost dakika chache zilizopita, na nilikua nasubiria fabrizio athibitishe tu na kafanya ivyo ivyo

Manchester United tunaandaa bid ya Sesko rasmi, na kama mjuavyo, dogo ameshakiri yeye ni UTD die hard fan

Zile assist za bruno, mbeumo, cunha na amad dogo ashindwe yeye tu
 
View attachment 3426025

Eti unampiga Bournemouth nne kwenye preseason unaiita Un-fourgettable experience 😀 😀 😀 😀. Je ukimpiga Madrid 3-0 kwenye robofainali ya Champions League utasemaje? 😀😀😀.

Standards...
Netflix arsenal mnavituko sana 😁 yaani, unajisifia kwa kuitoa Madrid kwa 5-1, timu ambayo ilikua ishaanza kufa kwa kuwa na wachezaji wengi wabovu. Afu unakuja kushenyentwa na PSG kwa aibu kubwa home and away. Kumbe hayo ndio mafanikio yenu UEFA.
 
Sio suala la mapenzi jezi ya Chelsea ni nzuri ukilinganisha na msimu uliopita mbona jezi ya Liverpool nimeisifia ni Kali mno

Unamaanisha ni nzuri ukiilinganisha na ya msimu uliopita au siyo mbaya kama ya msimu uliopita?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hizo sajili 2 zikikamilika tu, nawashauri Arsenyau wasilete timu uwanjani hio tarehe 17, la sivyo zile goli 8 tunaenda kuzifanyia anniversary. View attachment 3427159
Hivi hili suala la Donnaruma kuondoka Parc des Prince akiwa katika ubora ule shida nini kwa mwenye uelewa?
 
Back
Top Bottom