Unaangalia mpira wewe? Goli la 2 na 3 ni makosa ya LB...
18 years...
ni kweli LB aliruhusu mipira iliyozaa magoli yote matatu,la kwanza akishindwa kumkaba Mandzukic,lakini goli la pili na la 3 Vidic anabeba lawama kubwa kwa sababu yeye ndiye alikuwa wa mwisho akikabana na wafungaji man to man!ni kazi ya CB kuwa na marking ya hali ya juu,kwani kiwango cha full backs kama Evra kufanya makosa huwa ni kikubwa kwenye mechi za pressure kama hizi kutokana na kuwa na kazi nyingi uwanjani.Sasa ukiwatazama Bayern walikuwa wakipeleka counter kwa kutumia wingi ya kushoto iliyokuwa inadondosha mipira mirefu ya ghafla upande wa kulia kwa Roben.Roben akawa kila wakati anamkuta Evra akiwa hajatulia akili baada ya kushuka toka mbele,with such a tense situation,ni kazi ya CB kusoma mashambulizi ya wapinzani akagundua wapi wanapitisha mipira na kujiandaa kublock,akiwa na marking kubwa!sasa leo Vidic alicover position zote killer passes zilikopelekwa lakini cha ajabu alishindwa kuzuia wafungaji ambao alikabana nao man to man akiwa beki wa mwisho.goli la pili Evra alimpa muda wa kutosha Roben kutoa pasi,enough for Vidic to foresee the danger and prepare,Roben akapeleka mpira katikati ya miguu ya Vidic na Mueller,..Vidic akashindwa kukaba.Goli la pili Evra again kapitwa na Roben,Vidic akawa wa mwisho kukaba,akampa nafasi ya kutosha Roben kutafuta position ya kupiga,na mpira ukawa deflected na Vidic!sasa kazi ya CB ni nini ikiwa anashindwa kuzuia mipira ya mwisho tena akiwa kwenye nafasi sahihi kuizuia na kurekebisha makosa ya wenzie wenye kazi nyingi uwanjani?Evra kashindwa kumkaba Roben,lakini ni mzuri kushambulia na ametupia goli,what about Vidic,kafanya nini uwanjani leo?ni kawaida concentration ya fullback kuwa low kwenye defence kutokana na fatiki za kukaba,kukimbia na kushambulia frequently,CB anatakiwa kufill hiyo vacuum whenever necessary with accuracy kwenye maamuzi,high defensive concentration na marking ya hali ya juu kwenye mipira ya mwisho na wafungaji.Ukitazama uchezaji wa Vidic na Evra leo,wote wamefanya makosa,lakini ni nani alikuwa ngao ya mwisho mwenye kazi ya kuzuia madhara ya makosa ya wenzie?je,alipata nafasi hiyo ya kuzuia makosa?aliitumiaje?
Pole sana Man United.
Kwa kweli nilipenda Man United kwa faida ya timu za England angalau wafike hata Semi-final ya haya mashindano ya UEFA Champions League.
Kuna watu wanaosapoti timu za England lakini kwa kutokuelewa wanafurahia Man United kuondolewa katika mashindano haya bila kufahamu kuwa, kwa kufanya hivyo, nafasi nne za timu za England kuingia kwenye mashindano haya zinazidi kupungua na kuna hatari kubwa pale utakapofanyika mkokoto (review) mwingine katika kuangalia ushindani wa timu za Europe kwenye hiki kikombe kati ya nchi na nchi, kuna hatari England ikajikuta inapewa nafasi tatu badala ya nne.
Kwa mtu anayefahamu maana hii lazima ataanza kupatwa na wasiwasi. This is sad reality.
How many years do you want more professorial club management??? I think next year under Wenger gooners will win the UCL, EPL and FA cup.
Give him another chance please...
mtaongea lugha zote Leo.
lakini haitosaidia au kubadili matokeo.
Dah! Man Utd ndiyo imetoka. Bravo Bayern, walistahili kushinda!!
Dah! Man Utd ndiyo imetoka. Bravo Bayern, walistahili kushinda!!
For my own selfish reasons leo nitashabikia Man useless mshinde..hope yangu ni kupangwa nanyi semi finals.
DonDonald,Nzi,Belo tutakutana Europa league mwakani. Poleni sana wakuu mmekufa kama sisi, kumbukeni kifo ni kifo kije mapema au late bado ni kifo.
We will be back stronger,Hakuna haja ya kushiriki Uropa itatuchosha bora tusishiriki michuano ya ulaya next season tu-concentrate na ligi.Tatizo lenu nyie Wenger hana jipya
Katika timu zote zilizoingia robo fainali kwangu niliona Bayern ndio vibonde na niliombea kupangwa nao,Man United tumeshindwa wenyewe kuwatoa ingawa kwa uwezo wa kocha wetu tumejitahidi sana wengi walijua tutafungwa magoli mengi.Kama tungepangwa na timu nyingine huenda tungetolewa tangu game ya kwanza
Game ya kwanza Wellbeck alipata nafasi akaipoteza,jana Rooney kapata nafasi badala ya kumpa Kagawa akalazimisha kupiga,katika hatua kama hii zile nafasi sio za kuchezea kabisa.Jana timu ilicheza vizuri kipindi cha kwanza but uzembe wa Evra na Vidic tukafungwa magoli ya haraka,Rooney hakuwa fit na hakustahili kucheza jana.Positive ni viwango vya Smalling na Jones,hawa vijana watatusaidia sana tunahitaji left back na CB moja mzoefu wa kuwasaidia hao vijana
Still naaamini Moyes anahitaji kupewa msimu ujao tumpime vizuri.I hope Chelsea au Atletico mmojawapo atakuwa bingwa
Heko kwa maelezo murua! Mimi nakubali kumpa muda DM, kwa mipango ya usajili inayozungumzwa katika klabu, hakika tutarudi the strongest.....watu wanamwona Maureen ni bonge la kocha, sikatai...lakini ebu apewe timu isiyo $$$$ na tuweze kuona hata kama top 10 ataingia!! Hivyo kwa uwezo wa DM, akapewa wachezaji wakali wa ziada kama wanne hivi, basi #ManUnited itarudi kwenye utawala wake na kuzidi kuwauzi akina Mbu kashengo Mentor Balantanda BAK (huyu sijui kapotelea wapi, dah!) Kigogo na #MburukengeOrijino wote......
Kasoro hapo kwenye bold, hao jamaa wakishinda UCL Maureen atachonga sana ngenga....ila nakubali Atletico anastahili kabisa...Simeone ni noma...hadi Uefalona kaloweshwa?! Shikamoo Mr. Diego Simeone.