Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,836
- 6,114
Mzungu pori akili kisoda
Kibiashara zaidi.Ye, Tutafanya InshaAllah na itakuwa katika Standard kubwa kuzidi ya juzi na tushaanza mazungumzo ya kina kupata Tv rights na Vituo vya Television nchini.

Kwake ni biasharaNdoa haitaki umaarufu anapoteza hela na kujishughulisha na mambo ya kitoto siku kadhaa wameachana.
Ndoa haitaki umaarufu na ujuaji ataoa sana![]()