MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Kuhusu Kumiliki Mabasi ya Kampuni ya Esther labda ulibakia peke yako tu Kutokujua na Pole kwa hilo Ndugu.Walisema sijui Kuna mabasi Gani sijui ni yake .....ila Tanza-nia ukiwa mwanasiasa kuwa tajiri ni sekunde tu
KumbeKuhusu Kumiliki Mabasi ya Kampuni ya Esther labda ulibakia peke yako tu Kutokujua na Pole kwa hilo Ndugu.
Anazika pesa tu hapo, SBS haifiki popote. Kinachosikitisha Tozo zetu zinawatajirisha wabrazili na kocha tuHako ka team kanatumika kutakatisha fedha za mwamba
Uko sahihi tena kwa 100% Ndugu na Nasikitika System ya Tanzania inamuangalia tu na Mama nae wala hajamshtukia na kuona kuwa ni tatizo na atakuja Kumponza japo tayari ameshamponza katika Suala zima la Tozo Umiza zake.Hako ka team kanatumika kutakatisha fedha za mwamba
Esther Luxury CoachWalisema sijui Kuna mabasi Gani sijui ni yake .....ila Tanza-nia ukiwa mwanasiasa kuwa tajiri ni sekunde tu
Wala hujakosea Ndugu akipigwa chini na Mama na hii Klabu yake ya Singida Big Stars nayo inakufa mazima.Tozo zetu hizo,akipiwa chini timu inakufa
Hadi m-betKuhusu Kumiliki Mabasi ya Kampuni ya Esther labda ulibakia peke yako tu Kutokujua na Pole kwa hilo Ndugu.
Mkewe hana Jeuri hiyo na kwa 109% Yeye ndiyo Mmiliki wa hayo Mabasi. Asidhani Watanzania wote ni Wapumbavu na atambue kuwa kuna Wengine hawana hata hiyo Elimu Kubwa na Doctorate aliyonayo ila wana Akili Kubwa kumzidi.ameandika mkewe ndo mmiliki wakati hata chanzo cha pesa za kununulia hayo mabasi huyo mkewe hana.
Ni fedha zetu za tozo. Ale tuu nae ataliwa soon
Kuna watu wakupasulia yai kabisa maana wanazingua sana.Inasikitisha sana jana nimeandika uzi hapa Mods wameufuta tunapinga hivi vitu ila bado kuna hawa Mods wanasapoti aibu sana kuwa na makondoo kama haya huku jukwaani
Precisely.Takukuru waneishiwa meno