Mamlaka haya makubwa Gwajima kayapata wapi?

Gwajima katandika sana leo.
Hoja zake kubwa ni:

1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa.

2. Serikali ifungue makanisa in 10 days.

3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema Lissu ana issues zaxafya kutokana na kupigwa risasi,kwa mfano ikitokea kapata matatizo au kama gerezani ni Mwananchi gani atakubali kuwa kama Natural death

4. Amesisitiza Reforms zifanyike kabla ya uchaguzi.(Amesema hebu CCM wajenge picha kuwa Mkurugenzi wa Tume,Mkurugenzibwa Halmashauri nk wateuliwe na Lissu na Lissu ni mmoja wa wagombea je CCM watakubali??)

5. Kawapongeza wazee wastaafu wanaongea kushauri mambo kama Butiku na Warioba na kamshauri sana Kikwete kufanya yanayompasa kufanya kiusahihi kama Rais pekee mstaafu

6. Kasisitiza Majeshi na vyombo vya usalama kuwa nani nguvu ya kuangalia mambo hasa taasisi ya Urais inapokuwa haiendi sawa wawe na vikao pembeni na karudia hoja yake kuwa wakuu wake wasiondolrwe bila Bunge kuraarifiwa sababu na kushiriki maamuzi

Amefikia kutishia kuwa iwapo makanisa ya Ufufuo na Uzima hayatafunguliwa in 10 days atakuja na kuongea jambo ambalo hakuna atakayeamini hapo tarehe 24 au 25 mwezi huu.

Zaidi zaidi kakumbushia kwa JK na CCM kuwa ushindi wa chama chao ni muhimu lakini hauwezi kushinda umuhimu wa Masilahi ya Taifa
Gwaji Boy ni zaidi ya rais wa JMT!. Mfahamu Askofu Dr. Jesephat Gwajima, ni zaidi ya Mbunge, ni zaidi ya Waziri, ni zaidi Rais! Ni Mtumishi wa Bwana aliye Hai! Sio mtu wa mchezo mchezo!
P
 
Gwajima katandika sana leo.
Hoja zake kubwa ni:

1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa.

2. Serikali ifungue makanisa in 10 days.

3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema Lissu ana issues zaxafya kutokana na kupigwa risasi,kwa mfano ikitokea kapata matatizo au kama gerezani ni Mwananchi gani atakubali kuwa kama Natural death

4. Amesisitiza Reforms zifanyike kabla ya uchaguzi.(Amesema hebu CCM wajenge picha kuwa Mkurugenzi wa Tume,Mkurugenzibwa Halmashauri nk wateuliwe na Lissu na Lissu ni mmoja wa wagombea je CCM watakubali??)

5. Kawapongeza wazee wastaafu wanaongea kushauri mambo kama Butiku na Warioba na kamshauri sana Kikwete kufanya yanayompasa kufanya kiusahihi kama Rais pekee mstaafu

6. Kasisitiza Majeshi na vyombo vya usalama kuwa nani nguvu ya kuangalia mambo hasa taasisi ya Urais inapokuwa haiendi sawa wawe na vikao pembeni na karudia hoja yake kuwa wakuu wake wasiondolrwe bila Bunge kuraarifiwa sababu na kushiriki maamuzi

Amefikia kutishia kuwa iwapo makanisa ya Ufufuo na Uzima hayatafunguliwa in 10 days atakuja na kuongea jambo ambalo hakuna atakayeamini hapo tarehe 24 au 25 mwezi huu.

Zaidi zaidi kakumbushia kwa JK na CCM kuwa ushindi wa chama chao ni muhimu lakini hauwezi kushinda umuhimu wa Masilahi ya Taifa
Ila kampa za uso kizimkazi. Angekuwa ana akili angesikiliza maoni ya wananchi. Tatizo ilimu za kuungaunga hizi ni shida.
 
Haihitaji uwe askofu au pihechidii holda au profesa kuona mgawangiko uliopo katika jamii,bahati nzuri mi kwasasa ni Babu,nimeshuhudua uchaguzi wa 1995-2020,hakuna uchaguzi ambao hauna hamasa kama huu wa 2025...... Taifa lipo vipande vitatu,au vinne hivi CCM vs CCM,CCM vs Upinzani, Upinzani vs Upinzani..........pia watu ambao hawawezi kukwepa lawama ni viongozi wa dini,wamepoteza mvuto kwa jamii kwasababu wameacha kazi yao mama na kuwa sehemu ya tabaka tawala
 
Gwajima katandika sana leo.
Hoja zake kubwa ni:

1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa.

2. Serikali ifungue makanisa in 10 days.

3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema Lissu ana issues zaxafya kutokana na kupigwa risasi,kwa mfano ikitokea kapata matatizo au kama gerezani ni Mwananchi gani atakubali kuwa kama Natural death

4. Amesisitiza Reforms zifanyike kabla ya uchaguzi.(Amesema hebu CCM wajenge picha kuwa Mkurugenzi wa Tume,Mkurugenzibwa Halmashauri nk wateuliwe na Lissu na Lissu ni mmoja wa wagombea je CCM watakubali??)

5. Kawapongeza wazee wastaafu wanaongea kushauri mambo kama Butiku na Warioba na kamshauri sana Kikwete kufanya yanayompasa kufanya kiusahihi kama Rais pekee mstaafu

6. Kasisitiza Majeshi na vyombo vya usalama kuwa nani nguvu ya kuangalia mambo hasa taasisi ya Urais inapokuwa haiendi sawa wawe na vikao pembeni na karudia hoja yake kuwa wakuu wake wasiondolrwe bila Bunge kuraarifiwa sababu na kushiriki maamuzi

Amefikia kutishia kuwa iwapo makanisa ya Ufufuo na Uzima hayatafunguliwa in 10 days atakuja na kuongea jambo ambalo hakuna atakayeamini hapo tarehe 24 au 25 mwezi huu.

Zaidi zaidi kakumbushia kwa JK na CCM kuwa ushindi wa chama chao ni muhimu lakini hauwezi kushinda umuhimu wa Masilahi ya Taifa
Unahoji mamlaka ya Gwajima kisa tu kaongea ukweli! Ila hatuoni ukihoji mamlaka waliyo jipachika ccm na watu wake ya kutuamulia watu zaidi ya milioni 60 maisha yetu ya kila siku, na pasipo ridhaa yetu kwa miaka zaidi ya 40 sasa!!

Wewe utakuwa una matatizo bila shaka.
 
Sema wengi huko CCM ni waoga. Huyu Mama hakubaliki na siku ya uchaguzi mtaona kama watu wengi wataenda kupiga kura.
Ndugu sio kupiga kura Subiri kampeni zianze ndio utaelewa Watanzania wapo pamoja na Serikali yao pamoja na CCM !!

chuki za wachache zitafagiwa na kutupwa kwenye taka taka!!

. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ndio RAIS anaenda vunja record ya kuchaguliwa na wananchi wengi Zaid.!!

Kwanzia katikati ya mwezi wa tisa Picha itakuthibitishia nisemacho,,
 
Gwajima katandika sana leo.
Hoja zake kubwa ni:

1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa.

2. Serikali ifungue makanisa in 10 days.

3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema Lissu ana issues zaxafya kutokana na kupigwa risasi,kwa mfano ikitokea kapata matatizo au kama gerezani ni Mwananchi gani atakubali kuwa kama Natural death

4. Amesisitiza Reforms zifanyike kabla ya uchaguzi.(Amesema hebu CCM wajenge picha kuwa Mkurugenzi wa Tume,Mkurugenzibwa Halmashauri nk wateuliwe na Lissu na Lissu ni mmoja wa wagombea je CCM watakubali??)

5. Kawapongeza wazee wastaafu wanaongea kushauri mambo kama Butiku na Warioba na kamshauri sana Kikwete kufanya yanayompasa kufanya kiusahihi kama Rais pekee mstaafu

6. Kasisitiza Majeshi na vyombo vya usalama kuwa nani nguvu ya kuangalia mambo hasa taasisi ya Urais inapokuwa haiendi sawa wawe na vikao pembeni na karudia hoja yake kuwa wakuu wake wasiondolrwe bila Bunge kuraarifiwa sababu na kushiriki maamuzi

Amefikia kutishia kuwa iwapo makanisa ya Ufufuo na Uzima hayatafunguliwa in 10 days atakuja na kuongea jambo ambalo hakuna atakayeamini hapo tarehe 24 au 25 mwezi huu.

Zaidi zaidi kakumbushia kwa JK na CCM kuwa ushindi wa chama chao ni muhimu lakini hauwezi kushinda umuhimu wa Masilahi ya Taifa
🙋✍️🎯👍🤝🙏💐🎁🛡️
 
Ila kampa za uso kizimkazi. Angekuwa ana akili angesikiliza maoni ya wananchi. Tatizo ilimu za kuungaunga hizi ni shida.
Mwanachi yupi katoa maoni yake !! Mbona kila Sehemu RAIS wetu wananchi wanamkubali sana na kujazana kila anapotembea!!

Sasa unadai wananchi ni kina nani wapi wameandamana kumpinga!¿¿

Au wananchi ni ww😀😀
 
Back
Top Bottom