Mamlaka haya makubwa Gwajima kayapata wapi?

Mamlaka haya makubwa Gwajima kayapata wapi?

Anataarifa za kumiminiwa risasi Lisu huyoooo mjicheleweshe amwage ugali
 
Niliwaambia badala kuwa na vyama vya siasa mlipaswa kuwa na vikundi vya kijeshi kama m23.

Kule DRC Wakizinguana M23 wana rudi porini hakuna kubembelezana.

Huku mnatafuta huruma za ccm.
 
Gwajiboy namkubali sana ingawaje najua he is not perfect, JPM naye nilikuwa namkubali sana lakini nilikuwa disappointed sana na siasa zake za kihuni na udikteta wa kifala
 
Back
Top Bottom