hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,314
- 80,187
Mmhh chai hizo 😂Pascal Mayalla Ana roho ya utabiri, mara nyingi anachokiandika hutokea. Maadam ameandika, basi unabii umetinia. Gwajima anaenda kuongoza taifa
Mmhh chai hizo 😂Pascal Mayalla Ana roho ya utabiri, mara nyingi anachokiandika hutokea. Maadam ameandika, basi unabii umetinia. Gwajima anaenda kuongoza taifa
Mpumbavi mmoja hivi apuuzwe.Unafiki na chuki dhidi ya Samia unamsumbuaGwajima katandika sana leo.
Hoja zake kubwa ni:
1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa.
2. Serikali ifungue makanisa in 10 days.
3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema Lissu ana issues zaxafya kutokana na kupigwa risasi,kwa mfano ikitokea kapata matatizo au kama gerezani ni Mwananchi gani atakubali kuwa kama Natural death
4. Amesisitiza Reforms zifanyike kabla ya uchaguzi.(Amesema hebu CCM wajenge picha kuwa Mkurugenzi wa Tume,Mkurugenzibwa Halmashauri nk wateuliwe na Lissu na Lissu ni mmoja wa wagombea je CCM watakubali??)
5. Kawapongeza wazee wastaafu wanaongea kushauri mambo kama Butiku na Warioba na kamshauri sana Kikwete kufanya yanayompasa kufanya kiusahihi kama Rais pekee mstaafu
6. Kasisitiza Majeshi na vyombo vya usalama kuwa nani nguvu ya kuangalia mambo hasa taasisi ya Urais inapokuwa haiendi sawa wawe na vikao pembeni na karudia hoja yake kuwa wakuu wake wasiondolrwe bila Bunge kuraarifiwa sababu na kushiriki maamuzi
Amefikia kutishia kuwa iwapo makanisa ya Ufufuo na Uzima hayatafunguliwa in 10 days atakuja na kuongea jambo ambalo hakuna atakayeamini hapo tarehe 24 au 25 mwezi huu.
Zaidi zaidi kakumbushia kwa JK na CCM kuwa ushindi wa chama chao ni muhimu lakini hauwezi kushinda umuhimu wa Masilahi ya Taifa
Na uzuri ni wakati wa compain, hawaezi deal na yeyote kwa hila kuogopa ummaBado wanajipanguza machozi ya moshi mkali
Gwajima katandika sana leo.
Hoja zake kubwa ni:
1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa.
2. Serikali ifungue makanisa in 10 days.
3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema Lissu ana issues zaxafya kutokana na kupigwa risasi,kwa mfano ikitokea kapata matatizo au kama gerezani ni Mwananchi gani atakubali kuwa kama Natural death
4. Amesisitiza Reforms zifanyike kabla ya uchaguzi.(Amesema hebu CCM wajenge picha kuwa Mkurugenzi wa Tume,Mkurugenzibwa Halmashauri nk wateuliwe na Lissu na Lissu ni mmoja wa wagombea je CCM watakubali??)
5. Kawapongeza wazee wastaafu wanaongea kushauri mambo kama Butiku na Warioba na kamshauri sana Kikwete kufanya yanayompasa kufanya kiusahihi kama Rais pekee mstaafu
6. Kasisitiza Majeshi na vyombo vya usalama kuwa nani nguvu ya kuangalia mambo hasa taasisi ya Urais inapokuwa haiendi sawa wawe na vikao pembeni na karudia hoja yake kuwa wakuu wake wasiondolrwe bila Bunge kuraarifiwa sababu na kushiriki maamuzi
Amefikia kutishia kuwa iwapo makanisa ya Ufufuo na Uzima hayatafunguliwa in 10 days atakuja na kuongea jambo ambalo hakuna atakayeamini hapo tarehe 24 au 25 mwezi huu.
Zaidi zaidi kakumbushia kwa JK na CCM kuwa ushindi wa chama chao ni muhimu lakini hauwezi kushinda umuhimu wa Masilahi ya Taifa
Day dreamMliuzia chadema kuongea mkaona km kikwazo sasa mawe yanaongea na bdo huwezi kuzuia mafurik o kwa mkono.NB Hata km samia akishnda urais kwa uchaguzi feki ataongoza kwa shda na nchi haitatawalika
Wewe mbuzi acha ujinga wako, unaweza kukuta mimi ni baba yako ujueWewe ndio mpumbavu pimbi wewe.
Usiwaonee viongozi wa dini, wengi wamesema mpaka wametoa nabii zao lakini watu wameziba masikioHaihitaji uwe askofu au pihechidii holda au profesa kuona mgawangiko uliopo katika jamii,bahati nzuri mi kwasasa ni Babu,nimeshuhudua uchaguzi wa 1995-2020,hakuna uchaguzi ambao hauna hamasa kama huu wa 2025...... Taifa lipo vipande vitatu,au vinne hivi CCM vs CCM,CCM vs Upinzani, Upinzani vs Upinzani..........pia watu ambao hawawezi kukwepa lawama ni viongozi wa dini,wamepoteza mvuto kwa jamii kwasababu wameacha kazi yao mama na kuwa sehemu ya tabaka tawala
Bora Rais wa viti maalum, lile ni boya lililetwa na upepo ufukweni, watu wakaliokota.Rais wa viti maalum
Mbona mkapa au nyerere hawakuuawa????. Tatizo yeye kichwa cha nazi. Kimejaa maji??Hata wewe ungekuwa yeye ungefanya kama anavyofanya yeye , Tatizo sio kizimkazi tatizo ni watu walio muweka hapo Akifikiria kifo Cha mwenda zake na yeye anaogopa anajua watamla kichwa soon kama asipo fuata matakwa yao uraisi ni Taasisi ngumu sana usichukulie poa
Hawampendi ila wewe unamuonaje? Na alifaa kuwa cheo kipi tofauti na pale alipo?Kwakweli huyu mzee ameongea nilichogundua huyu mama hawampendi kabisa
Kampeni zikichanganya ataanza ku bleed tena japo yuko kwenye menopause.Na uzuri ni wakati wa compain, hawaezi deal na yeyote kwa hila kuogopa umma
HakikaBora Rais wa viti maalum, lile ni boya lililetwa na upepo ufukweni, watu wakaliokota.
Unasemaje unajiamini huku umejificha gizani.Kujiamini ndio nguvu kubwa kwenye Jambo lolote au sehemu yoyote na ukiwa na yoyote ..... confidence...,..
Pascal Mayalla salama mzee wangu...?Gwaji Boy ni zaidi ya rais wa JMT!.
P