Mamlaka haya makubwa Gwajima kayapata wapi?

Ndugu sio kupiga kura Subiri kampeni zianze ndio utaelewa Watanzania wapo pamoja na Serikali yao pamoja na CCM !!

chuki za wachache zitafagiwa na kutupwa kwenye taka taka!!

. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ndio RAIS anaenda vunja record ya kuchaguliwa na wananchi wengi Zaid.!!

Kwanzia katikati ya mwezi wa tisa Picha itakuthibitishia nisemacho,,
Mkilazimisha mtakufa
 
. Amesisitiza Reforms zifanyike kabla ya uchaguzi.(Amesema hebu CCM wajenge picha kuwa Mkurugenzi wa Tume,Mkurugenzibwa Halmashauri nk wateuliwe na Lissu na Lissu ni mmoja wa wagombea je CCM watakubali
Vibaraka na machawa wote humu wa CCM waje kujibu hii segment... Johnthebaptist, choicevariable, tiatiaah, jingalao, chiembe, zezeta Lucas mwashamba na wengine!!!
 
Gwajima katandika sana leo.
Hoja zake kubwa ni:

1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa.

2. Serikali ifungue makanisa in 10 days.

3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema Lissu ana issues zaxafya kutokana na kupigwa risasi,kwa mfano ikitokea kapata matatizo au kama gerezani ni Mwananchi gani atakubali kuwa kama Natural death

4. Amesisitiza Reforms zifanyike kabla ya uchaguzi.(Amesema hebu CCM wajenge picha kuwa Mkurugenzi wa Tume,Mkurugenzibwa Halmashauri nk wateuliwe na Lissu na Lissu ni mmoja wa wagombea je CCM watakubali??)

5. Kawapongeza wazee wastaafu wanaongea kushauri mambo kama Butiku na Warioba na kamshauri sana Kikwete kufanya yanayompasa kufanya kiusahihi kama Rais pekee mstaafu

6. Kasisitiza Majeshi na vyombo vya usalama kuwa nani nguvu ya kuangalia mambo hasa taasisi ya Urais inapokuwa haiendi sawa wawe na vikao pembeni na karudia hoja yake kuwa wakuu wake wasiondolrwe bila Bunge kuraarifiwa sababu na kushiriki maamuzi

Amefikia kutishia kuwa iwapo makanisa ya Ufufuo na Uzima hayatafunguliwa in 10 days atakuja na kuongea jambo ambalo hakuna atakayeamini hapo tarehe 24 au 25 mwezi huu.

Zaidi zaidi kakumbushia kwa JK na CCM kuwa ushindi wa chama chao ni muhimu lakini hauwezi kushinda umuhimu wa Masilahi ya
Gwaji buoy 😉😉😉hata mzee wa kolomije anamjua Magu pia anamjua😘😘😘😘
 
Ndugu sio kupiga kura Subiri kampeni zianze ndio utaelewa Watanzania wapo pamoja na Serikali yao pamoja na CCM !!

chuki za wachache zitafagiwa na kutupwa kwenye taka taka!!

. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ndio RAIS anaenda vunja record ya kuchaguliwa na wananchi wengi Zaid.!!

Kwanzia katikati ya mwezi wa tisa Picha itakuthibitishia nisemacho,,
Acha uchawa mtoto wa kiume huoni aibu?
 
I bet he has some Intel to compromise with the state not otherwise.... For that confidence.
 
Gwajima sijui nyuma yake uwa kuna wakina nani Nakumbuka bifu yake na Bashite kipindi Bashite ni mtoto pendwa wa mzee kilichofuata kila mtu anakijua Magufuli alishia kumuomba Gwajima agombee ubunge kama kumpoza
 
K
Ndugu sio kupiga kura Subiri kampeni zianze ndio utaelewa Watanzania wapo pamoja na Serikali yao pamoja na CCM !!

chuki za wachache zitafagiwa na kutupwa kwenye taka taka!!

. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ndio RAIS anaenda vunja record ya kuchaguliwa na wananchi wengi Zaid.!!

Kwanzia katikati ya mwezi wa tisa Picha itakuthibitishia nisemacho,,
Atakua anatembea na wasanii au kwenye kampeni anaweza kujaza kisa ana wasanii ila kwenye kujitokeza kupiga kura my friend Watakua watu wachache mno
 
Wametia pamba masikioni lakini wajue wanajitengenezea fedheha
 
Gwajima sijui nyuma yake uwa kuna wakina nani Nakumbuka bifu yake na Bashite kipindi Bashite ni mtoto pendwa wa mzee kilichofuata kila mtu anakijua Magufuli alishia kumuomba Gwajima agombee ubunge kama kumpoza
Askofu + mchungaji ex boss taasisi nyeti
 
Back
Top Bottom