Ngoja tusubiri tuone nini kitatokea ndani ya hizo siku 10.Amefikia kutishia kuwa iwapo makanisa ya Ufufuo na Uzima hayatafunguliwa in 10 days atakuja na kuongea jambo ambalo hakuna atakayeamini hapo tarehe 24 au 25 mwezi huu.
Aisee yule mama saa hizi kishaita waganga kibao wanamfukizia madawa ya kishaitwani ili yamlindeNgoja tusubiri tuone nini kitatokea ndani ya hizo siku 10.
Be blessed🙋✍️🎯👍🤝🙏💐🎁🛡️
In spiritual meaningGwaji Boy ni zaidi ya rais wa JMT!.
P
Rais wa viti maalumIla kampa za uso kizimkazi. Angekuwa ana akili angesikiliza maoni ya wananchi. Tatizo ilimu za kuungaunga hizi ni shida.
Uroho ukizidi unakuwa ulafi, ulafi ukizidi unakuwa umelo. Kikwete ni mmeloHuyu mzee Kikwete hashauriki, ni mroho sana.
Bunge la Tulia!?wawe na vikao pembeni na karudia hoja yake kuwa wakuu wake wasiondolrwe bila Bunge kuraarifiwa
Angeona soni! Msoga inampotosha kwa maslahi ya son and wifeRais wa viti maalum
Bunge litakalopatikana baada ya reforms kufanyikaBunge la Tulia!?
How !?Gwaji Boy ni zaidi ya rais wa JMT!.
P
Ila kampa za uso kizimkazi. Angekuwa ana akili angesikiliza maoni ya wananchi. Tatizo ilimu za kuungaunga hizi ni shida
Pascal Mayalla Ana roho ya utabiri, mara nyingi anachokiandika hutokea. Maadam ameandika, basi unabii umetinia. Gwajima anaenda kuongoza taifaHow !?
johnthebaptist ,@ritz,FaizaFixy ,ChoiceVariable ,chiembe,RESILIENT KATO waione na waisome na kuielewa post ni 21 ya Mzee P MayallaGwaji Boy ni zaidi ya rais wa JMT!.
P
😂😂😂 Ila watuAisee yule mama saa hizi kishaita waganga kibao wanamfukizia madawa ya kishaitwani ili yamlinde