Lakini si ni ukweli, waje kugombana nami kwa lipi?Utagombana watu hapa 🤣😂😀
Vipi hupendi ukweli au?Unajua kuna comment ambazo zinatamanisha umuone huyo mtoa comment ni mtu wa namna gani?
Sijafikiria kama nitakutana na comment kama hii kwenye uzi huu. Aiseee 😆😆😁😆😆😉
Unajua kunusa pupi ni kama vile tu Unapokuwa una kagua kwenye kifuniko cha rejeta au kupima oil🤣ili ujue activeness ya gari unalotaka kuliendeshaMbwa na wanyama wengine lazima wanuse chiu kabla kanyanduana sembuse binadamu kunusa pupi
NgaraKwenu wapi
Mkurugenzi.... Ni balaa.... 😂😂😂
Hajitambui huyo mzuka unauvutia mbali sasa hawa vijana wa sasa chiu inanua manukato tu na kuoshwa na masabuni chungu mzima wakati mzigo unatakiwa ujisafishe wenyew taratibu ili kale ka aroma asilia kawepo 😂Unajua kunusa pupi ni kama vile tu Unapokuwa una kagua kwenye kifuniko cha rejeta au kupima oil🤣ili ujue activeness ya gari unalotaka kuliendesha
Usiku Kuweka kopo la mkojo ndani😁😁
Number 09 nipo addicted aisee......1. Mke laZima Kulala ukutani
2. Kukojoa nyuma ya choo
3.ufagio unakaa nyuma ya mlango
4. Kila tajiri ni freemason au alitoka kafara
5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya kuoga
6 kuisha vyombo kabla ya sufuria
7. Chai chapati 2 ndo sheria
8. Kula supu ya maharage.
Maharage Yana supu?
9. Kunusa chupi ya demu kabla ya tendo
10. Kuamini Kuna nguo ya bahati
Ongezea.........
Ukinusa hulambi,ukilamba hunusi.Hii kunasa chupi siachi ,japo hayo mengine ni ujinga tu , mimi mwanamke akivaa chupi nzuri ndio fantasy yangu.