Mambo yanatambulisha Ujinga wa ki Africa

Mambo yanatambulisha Ujinga wa ki Africa

Mama kulala kitandani na mtoto wake mchanga.
Yaani huku kwetu (Afrika), kitanda kimoja atalala baba, mama na mtoto wake mchanga!

Hiyo kitu unaweza usiamini, lakini kwa wenzetu ni marufuku kabisa mtoto mchanga kulala kitandani na mama yake. Mtoto analazwa kwenye kitanda chake mahususi, na mzazi atalala kitanda chake tofauti. Na hilo liko kitaalamu kabisa, kwa usalama wa mtoto mchanga.
 
1. Mke laZima Kulala ukutani
2. Kukojoa nyuma ya choo
3.ufagio unakaa nyuma ya mlango
4. Kila tajiri ni freemason au alitoka kafara
5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya kuoga
6 kuisha vyombo kabla ya sufuria
7. Chai chapati 2 ndo sheria
8. Kula supu ya maharage.
Maharage Yana supu?
9. Kunusa chupi ya demu kabla ya tendo
10. Kuamini Kuna nguo ya bahati

Ongezea.........
Bro vingine sio ujinga,ni, logic tu, namba 1,Baba/mume ndio mlinzi, wa, familia, lazima, awe tayari kupambana wezi, wakiingia, ingekuwa ulaya, au, USA, bunduki anakaa, nayo baba, huku kwetu, lazima ulale karibu na mlango,ni logic ndogo tu,
Namba 7,ni, mazoea, ya, muda mrefu, unashiba, sehemu zingine chapatti ni nyembamba Sana, unapiga hata tatu,
 
Nimekuelewa sana mkuu
Uko sahihi
 
1. Mke laZima Kulala ukutani
2. Kukojoa nyuma ya choo
3.ufagio unakaa nyuma ya mlango
4. Kila tajiri ni freemason au alitoka kafara
5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya kuoga
6 kuisha vyombo kabla ya sufuria
7. Chai chapati 2 ndo sheria
8. Kula supu ya maharage.
Maharage Yana supu?
9. Kunusa chupi ya demu kabla ya tendo
10. Kuamini Kuna nguo ya bahati

Ongezea.........
11. Kuacha kuabudu vitu vyetu badala yake tunaenda Saudi Arabi bila chupi kuabudu na kubusu jiwe pamoja na kushika ukuta.
 
Umenikumbusha nilikuwa Tarime jamaa alimfukuza mke eti alikula firigisi
Kuna nyama ya kuku ambayo ni lakini haina mfupa huko Ukuryani anapaswa ale baba 😂🤣
Sio firigisi tu ile nyama ya kuku unaweka paja,maini,firigisi zilizobaki mnakula nyie wengine alafu ni mwiko usipo muwekea ivyo🙌🏾
 
Sio firigisi tu ile nyama ya kuku unaweka paja,maini,firigisi zilizobaki mnakula nyie wengine alafu ni mwiko usipo muwekea ivyo🙌🏾
Hakika wanaume wa ki Africa tumejaliwa mbinu za uchoyo
Vitu vizuri tule wanaume wanawake wale makwato ya kuku
 
1. Mke laZima Kulala ukutani
2. Kukojoa nyuma ya choo
3.ufagio unakaa nyuma ya mlango
4. Kila tajiri ni freemason au alitoka kafara
5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya kuoga
6 kuisha vyombo kabla ya sufuria
7. Chai chapati 2 ndo sheria
8. Kula supu ya maharage.
Maharage Yana supu?
9. Kunusa chupi ya demu kabla ya tendo
10. Kuamini Kuna nguo ya bahati

Ongezea.........
Hizo za 9 na 10 ni uongo.
 
11. Kuacha kuabudu vitu vyetu badala yake tunaenda Saudi Arabi bila chupi kuabudu na kubusu jiwe pamoja na kushika ukuta.
Unajua kuna comment ambazo zinatamanisha umuone huyo mtoa comment ni mtu wa namna gani?

Sijafikiria kama nitakutana na comment kama hii kwenye uzi huu. Aiseee 😆😆😁😆😆😉
 
Back
Top Bottom