Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 4,075
- 6,616
Unyakyusani kwetu hiyo ni desturi iliyodumu kwa miaka mingi. Baba wa familia anapanga namna ya kuanzisha kilio na anachaguliwa wa kuanzisha wengine wanapokea kisha wanawake wanafuata baada ya hapo msiba unakuwa rasmi umeanzaKujiandaa kulia
Kwamba watu wanajipanga watakavolia