Mambo yanatambulisha Ujinga wa ki Africa

Mambo yanatambulisha Ujinga wa ki Africa

Kupenda misambwanda.

Kwa wenzetu, misambwanda ni ugonjwa wa unene au ulemavu wa kimaumbile.
 
Unajua kunusa pupi ni kama vile tu Unapokuwa una kagua kwenye kifuniko cha rejeta au kupima oil🤣ili ujue activeness ya gari unalotaka kuliendesha
Hajitambui huyo mzuka unauvutia mbali sasa hawa vijana wa sasa chiu inanua manukato tu na kuoshwa na masabuni chungu mzima wakati mzigo unatakiwa ujisafishe wenyew taratibu ili kale ka aroma asilia kawepo 😂
 
1. Mke laZima Kulala ukutani
2. Kukojoa nyuma ya choo
3.ufagio unakaa nyuma ya mlango
4. Kila tajiri ni freemason au alitoka kafara
5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya kuoga
6 kuisha vyombo kabla ya sufuria
7. Chai chapati 2 ndo sheria
8. Kula supu ya maharage.
Maharage Yana supu?
9. Kunusa chupi ya demu kabla ya tendo
10. Kuamini Kuna nguo ya bahati

Ongezea.........
Number 09 nipo addicted aisee......
 
Back
Top Bottom