Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

We The Icebreaker na ephen_ wako wote machizi tu. Yaani mnachukua posts Manzil edit ili watu waone vinginevyo. Alaf mnaandika ujinga ambao hatujaandika? Ili iweje?

Ona hii

Sijasema mchumba nimesema shoga. Angekuwa mchumba asinge kuwa anajibizana na watu kama wa kike
Alf wewe The Icebreaker ukaandika kitu tofauti kwenye quote yangu.
Screenshot_20260524-165011 (2).jpg

Mbona umebadili maneno?

What the *** are you doing. Jibaba Zima lenye akili timamu linakaa kutafta attention. Foolish zombie!
 
We The Icebreaker na ephen_ wako wote machizi tu. Yaani mnachukua posts Manzil edit ili watu waone vinginevyo. Alaf mnaandika ujinga ambao hatujaandika? Ili iweje?

Ona hii


Alf wewe The Icebreaker ukaandika kitu tofauti kwenye quote yangu.
View attachment 3594308
Mbona umebadili maneno?

What the *** are you doing. Jibaba Zima lenye akili timamu linakaa kutafta attention. Foolish zombie!
Post yako ipi nimeiedit?
 
Unaona ulivyo snitch. Anyways endeleeni umbea na babu baby shoga yako. Siwajibu tena, am not a fool to argue with fools.
Mimi sina shida na wewe nilikua nakukumbusha tu ulivyoniambia nifanye mambo yangu na wewe yako.
 
Jibaba Zima lenye akili timamu linakaa kutafta attention.
Yani hata kabla ya kuniunganisha na mamako umesha anza kuniita Baba!

Halafu mara tu umebadili na maneno na kuniona nina akili timamu,

Kweli ulikua una miss sana japo upate mwanaume umwite Baba,mtoto wa single mother unatia huruma sana.
 
Wanaona ni uhuru wa kajiamulia mambo lakini ni laana ambayo itawatafuna sana anaweza asione Sasa ila baadae ataona laana inamaana gani hata wazazi wake hawawezi kuruhusu upuuzi kama huu
Unatoka nje ya mada kabisa, nini maana ya laana. Wazazi wanahusika vipi na mahusiano ya mtoto??

Sijui kwanini mnaopinga Mapenzi ya jinsia 1 mnajificha kwenye dini na bado hakuna uthibitisho wa hilo, em utafute hoja nyingine hii umefelii aloooh.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe 50/50 inaingia kwenye mwanamke kufanya kazi! kwa maana ilitakiwa mwanamke asisome wala asifanye kazi, hapana mnakosea mwanamke kupata elimu ni HAKI yake na mwanamke kufanya kazi ni HAKI yake pia, mwanamke kuolewa ni HAKI yake na kulea watoto na mume wake ni WAJIBU wake, mwanaume kutunza familia ni WAJIBU wake bila kuangalia nini mkewe anaingiza, siku akikwama mke atamboost lakini sio mke na mume mkae mezani muanze kugawana majukumu ya kutunza familia, hapana huo ni ukandamizaji wa mwanamke abebe mimba, azae kwa uchungu na bado alipie majukumu ya familia, HAPANAAAAAA
Unatakiwa kubaki mama wa nyumbani ili mume akuhudumie kwa kila kitu, sasa ukiwa nawe mwajiriwa, utajikuta unakosa muda wa kumtunzia mumeo watoto wenu

Hata frequency ya kumpa jamaa haki yake ya ndani itabadirika, maana utajikuta umerudi kazini ukiwa umechoka
 
Wewe umekosa aina fulani mwanaume mwenye mamlaka na ambaye mkomavu kiakili ambaye anajua jinsi ya kuishi vizuri na mwanamke ukimpata mwanaume wa aina hii simu yake moja tu unajileta mwenyewe haijalishi una upwiru au hauna wanawake wa aina yako walikuwa na mawazo kama yako bindi walivyopata aina ya Wanaume walichange
Au sio? 😹
 
Back
Top Bottom