Mmoja wao mtaje?Mimi siwezi kufa singo wakati wanaume wa kuwachezea mmejaa 😹😹😹
Mmoja wao mtaje?Mimi siwezi kufa singo wakati wanaume wa kuwachezea mmejaa 😹😹😹
Ujerumani bill huletwa kwa kila mtu. Mke na mume kila mtu analipa alichotumia.Mimi nadhani kama vile swala la mwanamke kuhudumiwa au mwanaume kuhudumia mke na familia kwa ujumla lilivyoanza na kudumu kwa mda mrefu basi litatoka taratibu na kwa mda mrefu pia. Huko mbeleni kuna mfumo utakuja tofauti kabisa na sasa. Kama wanawake walikuwa hawafanyi kazi sahizi wanafanya hata zile ambazo iliaminika hawafanyi. Tunawaona wanaendesha bajaji,daladala, wako makondakta na wabeba zege wanaingiza kipato.Wanawake zaman ilikuwa nadra sana kuwakuta mitaani au barabarani nyakati za usiku ila sahzi tunakesha nao. Tofauti sasa ni ile kwamba wanafanyakaz ila pesa ni yao hawataki kushare kwenye majukumu ya familia kwamba kuhusu mambo ya kuhudumia ni ya mwanaume tu. So, itafika sehemu ubinafsi wao utaleta mfumo mpya kwenye uhusiano wa mapenzi/ ndoa ambao wengi washaanza kuupigia kelele.Hii 50/50, ililetwa ili mwanamke apate fursa sawa na mwnaume bila kujua tabia asili ya mwanamke ni ubinafsi. 50/50 ni wazo zuri kwamba hawa wanawake wasifanywe kama vilema au watu ambao hawanauwezo wakuchangia chochote kwenye ngazi zote za kijamii ,kisiasa na kiuchumia maana wamewekwa hadi kwenye makundi maalum.So, ni wazo mbalo kama litatumika vizur basi litapunguza mzigo kwa mwanaume ila ndo linaonekana linamsaidia mwanamke pekee na si familia kwa ujumla. 50/50, kwa Sasa hii kitu inatesa wapenzi hadi wanandoa.😁maana imekaa kibinafsi zaidi.....Uhusiano wa sasa unaamuliwa na musuli wa kiuchumi. Mwanamke akiwa na pesa kwa asili yao ya ubinafsi anakuwa na maamuzi ya mwisho ndani ya ndoa/penzi😁😁😁😁
Walinijua wale maana tulimtrak yule mwizi mpk tukamapa akileta mikwamo anapokeq simu ya moto toka juu kwake. Tulivyomalizana nikamtoa hela kidogo wacha afurahi aisee.Hahahaha uliwakomesha kama nakuona ulivyokua unawachamba, yaani hao bila na wewe kujitia wazimu unaweza ikosa haki yako hivi hivi, btw pole kwa kuibiwa jamani inaumiza
Miye sinaga noma nikimwita sehemu namwambia tulia kula kunywa bili kwangu. Meno yooote 32 njeeUjerumani bill huletwa kwa kila mtu. Mke na mume kila mtu analipa alichotumia.
pelekeaneni motrooo dr mpaka mvi ziishe 😀Jamaniiiii hiki kichambo mbona cha motrooooo sana hadi nimesisimka🤠😀
Ngoja tuweke rekodi sawa. Tatizo lililopo mezani sio la mwanaume, ni tatizo la mwanamke. Mwanaume yeye amenyooka. Baki ndani uhudumiwe, totoke wote tukatafute tugawane bill. Hakuna complications. Hakuna ambacho hakieleweki.Yaani hii yote ni kukana majukumu yako kama mwanaume, yaani mmefikia hatua hii ya kutaka kushindana kila kitu na mwanamke ama kweli wahenga hawajakosea kusema hiki ni kizazi cha nyoka, enzi hizo wanawake walikua wanafanya biashara na bado wanaume zao walikua wanaprovide kila kitu ndani bila kuguna wala kukasirika, leo wanaume wanataka wakae mezani na wake zao wapangiane nani ananunua nini, hiyo nyumba haiwezi kua na heshima wala nidhamu miaka buku, mnatia kinyaa kwa kukimbia majukumu yenu.
Duh! Inamaana huko ujerumani wanawake wanajilipia Bill wenyewe. Ni Bill za matumizi ya kawaida, yani zile za home au Bill za mitoko mkiwa pamoja.Ujerumani bill huletwa kwa kila mtu. Mke na mume kila mtu analipa alichotumia.
Katika Mitoko. In fact kuna nchi ambazo sheria zao za ndoa hazifungamani na mapato ya ndoa. Afano Abu Dhabi ni kuwa kila mmoja ana kipato chake. Mkiachana kila mtu anachukua begi lake hakuna ati kugawana mali.Ndiyo maana wazungu wengi wanafungia ndoa zao hukoDuh! Inamaana huko ujerumani wanawake wanajilipia Bill wenyewe. Ni Bill za matumizi ya kawaida, yani zile za home au Bill za mitoko mkiwa pamoja.
Nakuambiaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]Ni hawa hawa hua wanasema wanawake hawafai kufanya kazi wakae ndani kulea watoto, watarubuniwa blah blah leo hawa hawa wanataka wao na wanawake wagawane majukumu ya kulipa bills[emoji23] wanaume wa jf ni kizunguzungu walai
Duh! Ujeruman kuzuri, yaan inatakiwa uishi Ujeruman ndoa ufungie Abu Dhabi. So, inamaana ukifunga ndoa Abu Dhabi ukaja kuishi Tanzania hapo hiyo sheria ya Abu Dhabi itakuwa applicable Bongo au ndo mkiachana wanakudaka na sheria za hapa??!Katika Mitoko. In fact kuna nchi ambazo sheria zao za ndoa hazifungamani na mapato ya ndoa. Afano Abu Dhabi ni kuwa kila mmoja ana kipato chake. Mkiachana kila mtu anachukua begi lake hakuna ati kugawana mali.Ndiyo maana wazungu wengi wanafungia ndoa zao huko
Kwenye mapenzi ya jinsia 1 hata kwa Gays, kuna Provider na submissive.Mkuu wewe deal na position yake yeye anachoongelea nani masculine na nani feminine. In their case yeye ndo receiving end(yaani anapelekewa moto) na mwenzie so yeye ndo kama mwanamke wa yule mwanamke mwenzie. Hivyo basi kutokana na mtazamo wake anapaswa kuhudumiwa.
Hilo sijui maana mimi si mwanasheria. Ngoja tuwaulize wenye taaluma yao au tuiulize AI itufafanulieDuh! Ujeruman kuzuri, yaan inatakiwa uishi Ujeruman ndoa ufungie Abu Dhabi. So, inamaana ukifunga ndoa Abu Dhabi ukaja kuishi Tanzania hapo hiyo sheria ya Abu Dhabi itakuwa applicable Bongo au ndo mkiachana wanakudaka na sheria za hapa??!
Soma majibu hapa ya AIDuh! Ujeruman kuzuri, yaan inatakiwa uishi Ujeruman ndoa ufungie Abu Dhabi. So, inamaana ukifunga ndoa Abu Dhabi ukaja kuishi Tanzania hapo hiyo sheria ya Abu Dhabi itakuwa applicable Bongo au ndo mkiachana wanakudaka na sheria za hapa??!
⚠️ Ushauri wa Muhimu: Kwa sababu suala hili linahusisha nchi mbili (Conflict of Laws), ni vyema sana kufanya mazungumzo na Wakili wa Sheria za Familia hapa Tanzania kabla ya kuchukua hatua yoyote, ili aangalie cheti chenu cha ndoa cha Abu Dhabi na kuwaongoza njia rahisi na salama ya kisheria.
So wewe haujawahi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume?unajua hii mada nimejiongelea mimi, nipo kwenye ndoa (ya jinsia moja) huu mwaka wa 11, na ndio tunavyoishi majukumu yote ya ndani amebeba yeye na hajawahi kulalamika, pia wewe unaongelea mahusiano ya gf na bf nimeona hata sehemu umemquote ephen_ kama vile yupo kwenye mahusiano ya gf na bf, hapana yupo kwenye ndoa na mada inazungumzia wanandoa sio hayo mahusiano yenu ya kihuni, upooooooooo👌
Hii mbona Kama haina come backSasa kama umeolewa na Mwanamke mwenzako,kwanini unasema ''Mwanamke kuhudumiwa'' kwani huyo anayekuhudumia yeye sio Mwanamke? au unafikiri baada ya yeye kukuoa wewe jinsia yake imebadilika?
Kwani huyo ambaye upo kwenye ndoa nae si ni mwanamke mwenzako? Wapi ambapo umeshindwa kumuelewa The IcebreakerSio kama wewe ndio una akili nyepesi kama unyoya? najiongelea mimi unaleta ya mwengine, ya kwake yanakuhusu nini hadi utake kuyajua, huo ni upeku peku na ufukunyuku ndio wanaume wa siku hizi mlichojaaliwa nacho.
Yah ndo nilichomwambia huyo Mzee, she's on the receiving end(anapelekewa moto) yaani submissive.Kwenye mapenzi ya jinsia 1 hata kwa Gays, kuna Provider na submissive.
Sasa huyu Dr Mari yuko position ya Submissive.
🤣🤣🤣 Utajuaje nae anataka kusagwaAcha kujipendekeza kwa mtu anayesagwa,huoni hata aibu mzee? wanaume hatupo hivyo,unataka kudeal kwenye jambo na mimi niface mimi direct acha kuzunguka,
Jibu hoja yangu niliyo iuliza hapa badala ya kujikomba kwa mleta mada,ona aibu japo kidogo tu aisee.