cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 120,075
- 196,762
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]G unapenda mtu usiyemjua [emoji81][emoji81]
Haya kazana mpaka niingie laini darling..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]G unapenda mtu usiyemjua [emoji81][emoji81]
Haya kazana mpaka niingie laini darling..!!
Mwenza wa kujadili ngono tu simpendi wallaq dk sifuri namkinai..!!Wanawake wa aina kama yako ni rahisi kupata mafanikio kwa pamoja kama couple na mnakuwa na positive mindset ya kimaendeleo sio hawa kila siku yeye ni ombaomba hakuna siku atakushauri Mambo ya kimaendeleo, kuhusu suala la kupelekeshwa nakuambia utapelekeshwa tu ukipewa mkimpata mwanaume sahihi na mwenye upendo wa dhati lakini kupelekeshwa huko haiwezi kuwa sawa kama hawa wanawake wengine
😹😹😹 G kagoma kukata tamaa..!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa wanashindwa wengi tu!Utapewa mtaji uzalishe pesa zako mwenyewe, dawa ya kukata kuombwa ombwa hela ni kumpa mtaji tu
😹😹😹😹 Mbona shemeji..!!Utafanikiwaa shemejiiii.
Msaidie mtoto wa mwanamke mwenzioo. Lol[emoji81][emoji81][emoji81] G kagoma kukata tamaa..!!
Nakuambiaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] Mbona shemeji..!!
InshaallahUtafanikiwaa shemejiiii.
Wachaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23]Inshaallah
Amiin na shukran Aljazeera😹😹😹 Mungu awape hitaji la moyo wenu..!!
Tunajivua gambaWachaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Kikubwa usituwakie maana wenzako ni walokole😹😹😹 Mungu awape hitaji la moyo wenu..!!
😹😹😹 Mtafika mmechoka..!!Nakuambiaaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹 Wa TAG au Bible fellowship?Kikubwa usituwakie maana wenzako ni walokole
hahahaaa daaah! Noma sanaKwenye huu uzi kila Mwanamke atadai hua anapewa hela yeye tu,
Unaweza kukuta kuna mshangazi hapa anahudumia kila kitu home ila hapa nae anajifanya anahudumiwa!
😀😀
Kheeee na wewe 😲😲😲😲I second u chomie💃🏽
Sa mi ela za mashindano natoa wapi?Kheeee na wewe 😲😲😲😲
Kumbe Kuna mashindanoSa mi ela za mashindano natoa wapi?