The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,632
- 119,937
JF VAR CHECKNikusanue tu!😂 Ule uzi wake wa jumapili iliyopita kuhusu dini hadi tukamwambia haeleweki alimind akaweka vitu moyoni ndo maana kakuandama.
Another Sunday, another boredom, another weekend. Nimeamka Salama namshukuru Mungu. It got me thinking, when was the last time going to church? Je namshukuru Mungu kweli, au naongea tu Kwa vile ni msemo wa Kila siku(jumapili especially!) je huyo Mungu WA kanisani nisiyemuamini Kwa nini bado naona anafaa?
Wengi walio kulia katika strong religious families one of the things never miss church. Lazima uende hata kama unaumwa, Mzee alikua anatucharaza, sikupenda kwenda, wala sikutaka kusikia mambo ya kanisani. I hated it, I hated false claims of God, who I knew never believed existed. Toka...

- Gunner11
- mungu sio
- Replies: 160
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko