Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,207
- 27,472
🤣🤣 Daah nyie mmevurugwa kwelinitolee bipolar
🤣🤣 Daah nyie mmevurugwa kwelinitolee bipolar
Dunia imeisha Sasa anapelekewa moto na Nini? Wakati huyo provider wake ni mwanamke mwenzako mwenye ule kama yeye mbona ni Mambo ya kushangaza sana kwa kweliYah ndo nilichomwambia huyo Mzee, she's on the receiving end(anapelekewa moto) yaani submissive.
Huo uzee wa mtu unaupimaje hapa JF?Yah ndo nilichomwambia huyo Mzee, she's on the receiving end(anapelekewa moto) yaani submissive.
Mbona unamakasiriko.Acha kujipendekeza kwa mtu anayesagwa,huoni hata aibu mzee? wanaume hatupo hivyo,unataka kudeal kwenye jambo na mimi niface mimi direct acha kuzunguka,
Jibu hoja yangu niliyo iuliza hapa badala ya kujikomba kwa mleta mada,ona aibu japo kidogo tu aisee.
Haka kajamaa kanajipendekeza na kujitia aibu tu,hapa issue huyo provider nae ni Mwanamke pia,ndio maana hapa issue ni hiyo 50/50Dunia imeisha Sasa anapelekewa moto na Nini? Wakati huyo provider wake ni mwanamke mwenzako mwenye ule kama yeye mbona ni Mambo ya kushangaza sana kwa kweli
Duh! Shukran mkuu, nimepata ABC ya swali langu🙏Soma majibu hapa ya AI
Hili ni swali zuri sana na la msingi, kwa sababu masuala ya ndoa za kimataifa yanayohusisha nchi tofauti (sheria za UAE/Abu Dhabi na sheria za Tanzania) yana mkanganyiko wa kisheria lakini yana utaratibu wake.
Kwa ufupi: Ndio, wanaweza kuachana hapa Tanzania, lakini kuna mambo muhimu ya kuzingatia kuhusu sheria ipi itatumika na mahakama gani itashughulikia.
Hapa kuna mchanganuo wa jinsi suala hilo linavyokuwa kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa ya Tanzania (Law of Marriage Act, Cap 29):
1. Kutambulika kwa Ndoa ya Abu Dhabi nchini Tanzania
Tanzania inatambua ndoa zilizofungwa nje ya nchi (Foreign Marriages) ikiwa ndoa hiyo ilifuata sheria za mahali ilipofungwa (Lex Loci Celebrationis). Kama ndoa yenu ilikuwa halali kisheria kule Abu Dhabi, basi Tanzania inaitambua kama ndoa halali.
2. Je, Mahakama ya Tanzania Inao Uwezo (Jurisdiction) wa Kuvunja Ndoa Hii?
Ndio, Mahakama ya Tanzania (kuanzia Mahakama ya Wilaya hadi Mahakama Kuu) ina uwezo wa kusikiliza kesi ya talaka ya ndoa iliyofungwa nje ya nchi, Mradi tu masharti yafuatayo yatimizwe:
- Makazi (Domicile/Residence): Angalau mmoja wenu (mdai au mdaiwa) awe na makazi ya kudumu hapa Tanzania, au awe ameishi Tanzania kwa muda usiopungua mwaka mmoja kabla ya kufungua kesi ya talaka.
3. Sheria Ipi Itatumika Kutoa Talaka?
Hapa ndipo palipo na utofauti mkubwa kulingana na aina ya ndoa mliyofunga kule Abu Dhabi:
- Kama ilikuwa ndoa ya Kiislamu (Sharia Law):
Abu Dhabi inafuata sheria za Kiislamu kwenye ndoa za Waislamu. Ukija Tanzania, Sheria ya Ndoa inaruhusu talaka za Kiislamu kufuata taratibu za Kiislamu (kama vile kutoa talaka nje ya mahakama na kisha kuisajili mahakamani, au kwenda Baraza la Utatuzi kama BAKWATA). Mahakama ya Tanzania itaiangalia kama ndoa ya Kiislamu.- Kama ilikuwa ndoa ya Kiraia ya Abu Dhabi (Civil Marriage kwa Wasio Waislamu):
Abu Dhabi hivi sasa ina sheria mpya ya kiraia ya familia kwa wasio Waislamu (Sheria Na. 14 ya 2021). Kama mlifunga ndoa ya aina hii, mkija Tanzania, kesi itabidi ifunguliwe Mahakamani. Mahakama ya Tanzania itatumia Sheria ya Ndoa ya Tanzania kushughulikia talaka hiyo, sio sheria za Abu Dhabi.4. Sharti la Lazima Kabla ya Kwenda Mahakamani (Tanzania)
Tanzania ina taratibu ngumu kidogo za talaka kuliko Abu Dhabi. Kabla ya kufungua kesi mahakamani, ni lazima jambo lenu lipitie kwanza kwenye Baraza la Usuluhishi wa Ndoa (Marriage Conciliatory Board).
- Baraza hili linaweza kuwa la kidini (kama BAKWATA, Makanisa) au la kiserikali (Ustawi wa Jamii).
- Kama baraza likishindwa kuwasuluhisha, litatoa Hati ya Kushindwa kusuluhisha (Certificate of Failure), ambayo ndiyo inakupa ruhusa ya kwenda kufungua kesi ya talaka Mahakamani.
5. Mgawanyo wa Mali na Matunzo ya Watoto
Kama mna mali mlizochuma pamoja (iwe ziko Tanzania au Abu Dhabi) au mna watoto, Mahakama ya Tanzania itatumia sheria za Tanzania kuamua:
- Mali: Hugawanywa kwa kuangalia mchango wa kila mtu (kazi au fedha) katika kuzipata.
- Watoto: Maslahi bora ya mtoto (Best interest of the child) ndiyo huangaliwa kwanza kwenye kuamua nani akae naye na nani atoe matunzo.
Pamoja MkuuDuh! Shukran mkuu, nimepata ABC ya swali langu🙏
🤣🤣🤣Dunia imeisha Sasa anapelekewa moto na Nini? Wakati huyo provider wake ni mwanamke mwenzako mwenye ule kama yeye mbona ni Mambo ya kushangaza sana kwa kweli
Mkuu mbona ww mtu mzima lakini unakuwa triggered kama mtu asiyepevuka? We hapo usichoelewa ni Nini? Mahusiano Yao kwako yanakuhusu? Mbona unakuwa kama demu aliyechapwa machine bure!?Haka kajamaa kanajipendekeza na kujitia aibu tu,hapa issue huyo provider nae ni Mwanamke pia,ndio maana hapa issue ni hiyo 50/50
Sasa si jibu unalo, unauliza Nini tena?Huo uzee wa mtu unaupimaje hapa JF?
She's on receiving kutoka kwa mwanamke au mwanaume?
Kama unaona mimi ni mzee basi niunganishe na Mamako.
Wanaona ni uhuru wa kajiamulia mambo lakini ni laana ambayo itawatafuna sana anaweza asione Sasa ila baadae ataona laana inamaana gani hata wazazi wake hawawezi kuruhusu upuuzi kama huu
Hakika mkuu, ila wanasemaga mambo Yao waachie wenyeweWanaona ni uhuru wa kajiamulia mambo lakini ni laana ambayo itawatafuna sana anaweza asione Sasa ila baadae ataona laana inamaana gani hata wazazi wake hawawezi kuruhusu upuuzi kama huu
Nimekuuliza hivi,utu uzima wa mtu hapa JF unaupimaje?Mkuu mbona ww mtu mzima lakini unakuwa triggered kama mtu asiyepevuka?
Hakuna sehemu niliyoongelea mahusiano yao,kumbe umekurupuka tu na shobo zako za kujipendekeza kwa huyo mwanamke bila hata kujua kinachojadiliwa hapa? issue nimemuuliza kua,anasema mwanamke kazi yake ni kuhudumiwa,ndio nikamuuliza huyo aliyekuoa ni mwanamke mwenzako,je yeye jinsia yake inabadilika kisa ameoa mwanamke mwenzake? yeye anakua sio mwanamke ambaye nae anatakiwa kuhudumiwa? usichokielewa ni nini hapo?We hapo usichoelewa ni Nini? Mahusiano Yao kwako yanakuhusu?
Kumbe hua unachapwa mashine kwa kulipwa sio?Mbona unakuwa kama demu aliyechapwa machine bure!?
Wewe ni kajamaa kapumbavu sana,nani kakwambia kua hapa issue ni huyo kuolewa na mwanamke mwenzake? hata wewe kwa unavyoandika hapa unaonekana kabisa umeolewa na mumeo ni mkali sana,Unakasirika on someone humjui, humlishi, kwani hapo kwenye provider na submissive archetypes hujaelewa Nini. Unataka aolewe na wewe?
Wewe choko hii mada imeletwa na mleta mada mwenyewe,hapa tuanajadili mada,hizo shobo zako za kumshobokea,haujakatazwa,wewe mshobokee tu ila usijilete kwangu,mimi hua sichezei tope,Sio mwanao, dada Ako au nduguyo. And most of all hii ni JF why the heck do you even care?
You are disgustingly so cringe, una bichwa gumu sana Mzee.
Huna akili wewe,unaulizwa maswali badala ya kujibu unakuja kunitingishia makalio yako hapa,angalia tu usije ukakata shanga zako za kiunoni,Sasa si jibu unalo, unauliza Nini tena?
You see now, zee Zima haliwezi kujizuia emotionally?
Haka kajamaa ni kajinga sana,kanaingilia mjadala kwa kukurupuka bila hata kujua kinacho jadiliwa ni nini hasa,ni vile vijitu ambavyo hua vinapenda kujipendekeza,kajamaa kanajipendekeza kwa mleta mada!View attachment 3594180
Tuheshimiane
Nikusanue tu!😂 Ule uzi wake wa jumapili iliyopita kuhusu dini hadi tukamwambia haeleweki alimind akaweka vitu moyoni ndo maana kakuandama.Haka kajamaa ni kajinga sana,kanaingilia mjadala kwa kukurupuka bila hata kujua kinacho jadiliwa ni nini hasa,ni vile vijitu ambavyo hua vinapenda kujipendekeza,kajamaa kanajipendekeza kwa mleta mada!
Ukumbe ndio haka kajamaa kenyewe,Nikusanue tu!😂 Ule uzi wake wa jumapili iliyopita kuhusu dini hadi tukamwambia haeleweki alimind akaweka vitu moyoni ndo maana kakuandama.
Hamku elewa nyie tu mfs ndo maana mlikimbia. Uzi ulikua clear kabisa. It's all y'all lack of awareness na ignorance ndo mkashimdwa kuhimili madaNikusanue tu!😂 Ule uzi wake wa jumapili iliyopita kuhusu dini hadi tukamwambia haeleweki alimind akaweka vitu moyoni ndo maana kakuandama.