Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,724
- 18,964
- Thread starter
- #641
Ona lilivyo lofa eti hapo issue ni nywiiiiii nywiiii nywiiiii, hata halijui maana ya gender na sex laiti ungejua tofauti zake usingeandika huo upupu hapa, na pia mada ni service provider hayo ya gender umeyaleta wewe, umekua unabadilisha muelekeo wa hii mada tangu huko juu, andika yako usinilishe manenoUkisha tumia neno ''Mwanamke mwenzie'' unakubali kua hizo zote ni jinsia moja,
Sasa unaposema ''Mwanamke kuhudumiwa'' na hapo unahudumiwa na mwanamke mwenzako,je uanamke wa mwanamke anayekuhudumia unabadilika kisa anakuhudumia? hapa issue ni gender na sio service provider,issue ipo hapa.