Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Wanawake walikua watii kwa waume zamani lakini kesi za mume kafa unakuta mali mlizochuma zinagawanywa hadi kwa watoto wa nje!
Hapo ujambazi ndo ulipoanzia!
Mchepuko anaishi vizuri kuliko mke hata ungekua wewe ndo mke ungejisikiaje?
😅
 
Hivi kumbe huwa wanawaleta ndani tuwalee? Katika kitu sitaki ni watoto wangu kushare baba na watoto ambao sijawazaa!!
Mbona kitaumana ila kama nina mjengo wangu na hela zangu mbona kiboss tu nasepa.
Kwenye ndoa usipokaa kimasta kinakulamba😂
Huwa wanapima pia, akikuona wewe ni mwelewa anakuletea tu, ila wewe kazae nje sasa utajikuta kwa millard ayo😁
 
Wanawake walikua watii kwa waume zamani lakini kesi za mume kafa unakuta mali mlizochuma zinagawanywa hadi kwa watoto wa nje!
Hapo ujambazi ndo ulipoanzia!
Mchepuko anaishi vizuri kuliko mke hata ungekua wewe ndo mke ungejisikiaje?
Hakuna mchepuko unaoishi vizuri kuliko mke, huo ni wivu wenu tu wanawake. Unakuta mke unamiliki Harrier new model halafu mchepuko kanunuliwa ka IST tu au mnaishi mbweni mchepuko katafutiwa kajumba cha vyumba viwili kimara basi utatokwa na povu balaa😁
 
Kama mnajenga familia moja kwa ajili yenu na watoto wenu kuna ubaya gani kusaidizana, sio amri wala sharti kumsaidia mwanaume, lakini ukimsaidia mwenzako hata kufikia kiwango cha msaada wako kuwa asilimia 50 kuna shida?

Maana watoto ndio wanufaika hapo..
Umesema vizuri hapo kwamba sio amri wala sharti. Maana yake nitafanya pale ambapo nina nafasi na wewe umekwama. Mfano watoto wanatakiwa kwenda shule siwezi waacha watoto wakae nyumbani na mimi hela ninayo. Lakini sio ile mimi nalipia ada wawili na wewe lipia wawili....nope, not happening
 
Guys kuna raha kua Mwanamke na raha ya Mwanamke kuhudumiwa,
acheni sasa niwaambie mimi ni yule mwanamke hata nikipata mshahara sasa hivi, bado nitapiga simu kwa kaka zangu (wananipenda sana lastborn wao) wanitumie hela ya chips au icecream,
Siwezi kwenda lunch na kuna wanaume halafu mimi nilipe bill hata kama ni yangu, hapana nitatulia tuliii wanaume walipie,😐

Kuna siku ilikua lunch na co-workers sasa bill ilivyofika mdada mmoja naona anafungua wallet weeh acha nimpige kofi la bega, akashtuka nikamwambia "tulia ufurahie uanamke wako" akacheka akaweka wallet chini,🙃

Tukija nyumbani ndio kabisaaaa siwezi kubeba majukumu ya kununua chakula na kulipa bills, nope! labda kununua vitu vidogo vidogo kama chumvi na viberiti au snacks zangu, lol

Haya mambo ya 50/50 yaishie kwenye mabiashara hukooo ila kwenye mahusiano hapana jamani kila mtu asimamie majukumu yake yanayomuhusu, mimi jukumu langu ni kuleta utulivu, nuru na amani nyumbani,
Mtauliza sasa wewe mshahara wako unaufanyia nini sawa nitajibu, nanunua vitu vidogo vidogo kama mapambo ya ndani, kufix issues ndogo ndogo zitakazojitokeza na kuspend kwenye mambo yangu,🥰 wanawake tuna vitu vingi jamani na pesa kwetu haijawahi kutosha,😂

Ewe mwanamke unayejiita mwanamke wa shoka, unayevuja jasho na damu ili kuhudumia familia kwanza nakupongeza sana ila kama ukipata nafasi ya kufanyiwa jiachie ufanyiwe, Mwanamke ni pambo la dunia, kaumbiwa kutunzwa, kudekezwa, kupendwa, kubembelezwa, mwanamke anatakiwa awe laini laini sio wanaume wapo wewe mwanamke unabeba ngazi unaparamia ukuta kuweka umeme au unapanda kwenye stuli kufunga kamba za nguo jamani mtakuja kutenguka nyonga mshindwe kutoa raha kwa my zenu,🙄

Binafsi hizo 50/50 zenu pelekeni hukoooooooo mimi ni old school naelewa uanamke wangu unathamani kiasi gani.
Tchaooooo
Kwenye hela aaah ila mengine mnataka 50/50 wakati huo huo mnataka mpambanie ajira zote na mwanaume...
 
Hakuna mchepuko unaoishi vizuri kuliko mke, huo ni wivu wenu tu wanawake. Unakuta mke unamiliki Harrier new model halafu mchepuko kanunuliwa ka IST tu au mnaishi mbweni mchepuko katafutiwa kajumba cha vyumba viwili kimara basi utatokwa na povu balaa😁
Kwahiyo hela zako unazigawa kwa mchepuko zangu ndo tugawane?
Ukitaka ule hela ya mwanamke basi ajue huwezi kumcheat.
Ila ukiwa burudani kwa wote Azam tv tulia dawa ikuingie.
 
Umesema vizuri hapo kwamba sio amri wala sharti. Maana yake nitafanya pale ambapo nina nafasi na wewe umekwama. Mfano watoto wanatakiwa kwenda shule siwezi waacha watoto wakae nyumbani na mimi hela ninayo. Lakini sio ile mimi nalipia ada wawili na wewe lipia wawili....nope, not happening
Wewe lipia wawili na mimi wawili wakati mimba nabeba peke yangu leba naenda peke yangu

Nifanye kazi 2 mwanaume afanye kazi 1 walisikia wapii
 
Kwa hiyo mnaishi kwa kuviziana ? Ni bora utulie uchague kwa umakini kuliko kuangukia kwa jambazi
Kwa hiyo mtu ku-secure future yake ni ujambazi 🤣🤣🤣 kama vile wewe hela yako unavyoichepusha kupeleka kwa malaya huko nje na mimi yangu naichepisha kutengeneza uchumi wangu. Halafu msichukulie negative tu, hiyo mipango ya pembeni anayofanya mkeo itakuja kukufaa hata wewe, kama sio wewe basi watoto wako
 
Enhee ulikuwa unasema??

Sikia nikwambie kitu we mwanaume! Kuna aina za wanawake, kuna namna anavyoendesha maisha yake ninjibu tosha una deal na mwanamke wa aina gani! Issue za vicoba sijui hisa, hakuna mwnaamke timamu atajiunga huko kw akutegemea pesa ya kupewa! Lazima uwe na source of income ambayo utakaa chini na kunadika jinsi gani utaisave hiyo pesa yako kule na kwa sababu zipi! Huwezi kuweka pesa sehemu bila mpangilio! Hizo pesa z amitoko kama ipi? Ya i kinguo cha kuvaa moaka wewe ndio unipe mimi pesa nikanunue?🤔

Anyways sijui hapa unaongelea kundi lipi! Ila kama ni wmanamke anayejitambua sidhani kama bado anategemea nguo zake z akuvaa wanunue wanaume🫢
Ndio maana nikasema wapo baadhi wamenyooka ila wengi wao wanahamasishana ujambazi tu, unakuta mtu hata hajawahi kuwa ndoani ila anamshauri wenzake wa ndoani , utasikia

"shoo huyo mume wako fanya mpango umdange"

Ni ujambazi tu na kubomoa familia yako kwa ushauri wa kigoigoi
 
Kwa hiyo mtu ku-secure future yake ni ujambazi 🤣🤣🤣 kama vile wewe hela yako unavyoichepusha kupeleka kwa malaya huko nje na mimi yangu naichepisha kutengeneza uchumi wangu. Halafu msichukulie negative tu, hiyo mipango ya pembeni anayofanya mkeo itakuja kukufaa hata wewe, kama sio wewe basi uchwatoto wako
Hiyo sio familia , ni kajambazi kamoja kamevamia maisha ya mwenzake , au wote kwa pamoja ni majambazi tu gadeim 🚮
 
I'm not here to teach people how to live; by doing so I might end up offending people. Whoever reads what I just said will understand that the good life that we all dream of is a result of hard work, patience and discipline; No short cuts, no fixes.

Likewise when looking for a partner she must align with your vision and be a helper as commissioned in the garden of Eden : Adam was to work from the garden and Eve would be beside him as a helper and not a dependent.
How does it make a difference? Aren’t help and dependence the same thing? For instance, you have a house helper at home who works for you, can’t you also provide for her needs as well, such as health insurance, shelter, and food? What if she has needs won’t you fulfill them?
Please clarify your point because I don’t understand what “dependence” means, lol 🫢
 
Huwa wanapima pia, akikuona wewe ni mwelewa anakuletea tu, ila wewe kazae nje sasa utajikuta kwa millard ayo😁
Mwanaume ku cheat ni tamaa tu ila mwanamke ku cheat ni baada ya kupoteza upendo na heshima kwa mume wake ndio maana ugomvi unakuwa mkubwa sana. Lakini pia polygamy ndio nature ya viumbe wote duniani, dini na maendeleo ndio vilisababisha mambo kubadilika.
 
Back
Top Bottom