Mambo usiyoyajua kuhusu Nyumbu

Mambo usiyoyajua kuhusu Nyumbu

We! Tena we! Kama hujui kitu nyamaza! ! Honey budger ni mwoga? We umesomea tour guide wapi? Umesomea wapi ecology wewe? Yaani mnyama mkorofi kuliko wote na jasiri kuliko wote unamwita mwoga? Honey budger au ratel ndo mnyama mkorofi kuliko wote, anakimbiza na kula cobra, black mamba kama hana akili nzuri. Anawatoa nduki simba na chui vibaya . Wee! tena wee! Tafuta documentary ya wanyama wa Kalahari.

Duh..cobra anasubiri?????sio mchezo huyo mnyama vipi akikutana na binadamu atapona kweli!
 
Kuna makundi mawili ya wanyama.yaani wale wanao Kula nyasi na wanao Kula nyama. Sasa kama wanao kula nyasi hapo una kutana na POFU ( WATER BIST ) Huwa ni mnyama anae hisi hatari muda wote.
NNa Kwa mnyama ane kula nyama ni fisi (Haynes) hao ndio wanyama waoga zaidi mbugani.
 
CCM, yaani bila kutumia vyombo vya dola, mahakama na vyombo vya habari vya Taifa, hawezi kusimama peke yake!

Kuonyesha kwamba u-comment ujinga mpaka sasa ujapata like hata moja ingawa yamepita takribani masaa 8 tangu upost huu upu..mbavu wako. Pwi pwi pwi pwi
 
Yanaboa haya mawanyama..eti unakuta simba mmoja halafu manyumbu yako mia mbili lakini yanafurumushwa balaa..sasa ni akili hiyo kweli?

Hahahaah,,,,,,haya majamaa ni majinga ajabu. Yanatembea kwa makundi lakini akili hamna kabisa.
 
Ni nyoka mwenye sumu zaidi duniani black mamba,akikuona anasepa unless umemkurupua au umemzunguka. Na akipata hasira/aggressive hiyo humchukua muda wa miezi kuacha kugonga chochote anachokiona.
 
Kuna mnyama anaitwa honey badger au nyegere, ni muoga sana! :heh:
Huyu ni mnyama jasiri kuliko wote unaowafahamu, hamuogopi binadamu sembuse kamendegere!!!! Usifanye mchezo na honey badger.
naona humfahamu vizuri huyu mnyama, nimetizama juzi kwenye national geographic channel yumo katika list ya world Deadliest animals na wakaonyesha anamuua swila na mwingine akiua chatu na kifutu na kumtafuna hapo hapo, ana meno makali sana,
Acha utani mkuu, nyoka wakimuona wanaharisha halafu bado useme muoga. this is one of the dangerous animal.
usiongee usichokijua, honey badger ni very fierce predator.... anaua hadi king cobra for ur information hata simba hawez mpokonya honey badger a kill.

kuhusu uoga labda ngedere i mean monkey sio gorilla.
Labda sio honey badger ninayemjua mimi. Ila kama ni yule ana mchanganyiko wa rangi nyeusi na nyeupe, ni mkali sana na anaua viumbe wakubwa kuliko umbo lake. Hata binadamu anamzingua pia kwenye kujihami.
We! Tena we! Kama hujui kitu nyamaza! ! Honey budger ni mwoga? We umesomea tour guide wapi? .
Mkuu mshukuru mungu kamfanya nyegere kuwa miongoni mwa wanyama wadogo ,ukweli nyegere ni mmojawapo wa wanyama wakali,jasiri ambao huwezi kuwaua without a fight!pia ndio mnyama pekee atembeaye kwa miguu minne ukiondoa jamii za masokwe anyemudu kutumia nyenzo kufanya mambo yake,hii maana yake anaufahamu mkubwa,inshort badger is badass!
Nyegere ww humfaham utakuwa umechanganya majina
Dah, wakati sisi wengine tunamuogopa sana nyoka, huyo jamaa anapambana na nyoka hadi anamuua na kumtafuna kabisa! Na hata aking'atwa na nyoka mwenye sumu kali, bado atapoteza fahamu (kiujanjaujanja) kwa muda fulani na akikurupuka huko ni lazima amsake tena nyoka na kuhakikisha anamuua!! Yaani huwa ni burudanbi tupu ukiuona mpambano huo.

Jamani, kwa kuangalia hicho ki-emoticon 🙂heh🙂 mlitakiwa mjue kwamba kuna lugha fulani ya mzaha ilitumika kunogesha mjadala. Ukweli ni kwamba nafahamu kuwa honey badger has been named “world's most fearless animal” by the Guinness Book of World Records.
 
Duh..cobra anasubiri?????sio mchezo huyo mnyama vipi akikutana na binadamu atapona kweli!
Mkuu honey budger au nyegere ndo mnyama mkorofi kuliko, ukubwa wake ni juu kidogo ya paka mkubwa, ana rangi nyeupe na nyeusi mgongoni. Kuna documentary niliiona anamkimbiza simba, kifupi ni kichaa. Anamla nyoka yoyote kuanzia Kichwani. I mean nyoka yoyote akimuona lazima ajambe. It's my favorite animal akifuatiwa na mbwa mwitu.
 
jamani Huyu nyegere ndo yupi..sijapata kumsikia daima kwenye list za wanyama..na anapatikana kanda zipi hasa?nianze kujihami mapema maana nipo msituni

Ndo huyu.
anapatikana huku huku bongo sehemu za maporini kwa wingi tu na ni mtemi hasa si mchezo
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    36.2 KB · Views: 574
Kuna makundi mawili ya wanyama.yaani wale wanao Kula nyasi na wanao Kula nyama. Sasa kama wanao kula nyasi hapo una kutana na POFU ( WATER BIST ) Huwa ni mnyama anae hisi hatari muda wote.
NNa Kwa mnyama ane kula nyama ni fisi (Haynes) hao ndio wanyama waoga zaidi mbugani.
Mkuu, hakuna mnyama anaitwa water bist, ni Waterbuck, na hakuna Haynes, kuna hyaena , na nashangaa unasema fisi ni mwoga! Wewe! Spotted hyaena ndo wanaongoza kuwapora simba fresh kills zao, mawindo. We unamwita mwoga? Please let's be professional. Tuache mastori ya vijiweni please
 
Ndo huyu.
anapatikana huku huku bongo sehemu za maporini kwa wingi tu na ni mtemi hasa si mchezo

Zamani wazazi walikuwa wanatutisha kwamba huyu jamaa anapenda sana pu.mb.u za binadamu ili tuwahi kurudi kutoka mpirani. Na pia nasikia akiona mzinga wa nyuki yeye akifika anaugeuzia kija.mbio kisha anafumua ush.uz basi nyuki wote wanalewa yeye anarina asali mwanzo mwisho?
 
Mkuu, hakuna mnyama anaitwa water bist, ni Waterbuck, na hakuna Haynes, kuna hyaena , na nashangaa unasema fisi ni mwoga! Wewe! Spotted hyaena ndo wanaongoza kuwapora simba fresh kills zao, mawindo. We unamwita mwoga? Please let's be professional. Tuache mastori ya vijiweni please

Baada ya simba/chui kuua mnyama yeye anachofanya ni kukaa pembeni akimwangalia simba anakula nyama akishashiba fisi ndiyo anaopoa mzoga!
 
Baada ya simba/chui kuua mnyama yeye anachofanya ni kukaa pembeni akimwangalia simba anakula nyama akishashiba fisi ndiyo anaopoa mzoga!
Sio kweli, angalia hata you tube sasaiv- lions vs hyaena, uone shughuli yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom