Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Usijali mpendwa huo ndiyo ushuhuda wenyewe asipo sema hivyo haitakuwa fulfilled bora amesema ili litimie kwa kasi na kwa haraka anadhani kila mara anaongea na watu wa kawaida; hajui kuwa some of us are Kings and our words are decree. As I said so shall it be ninasema nakurudia tena hakuna fisadi atakaye pona nyakati hizi never the mission is completed imebaki utekelezaji!

You watch and see confusion wanayoiendea hawa watesi wa nchi yetu; and some of us will be just some where laughing na kugonga glass za ushindi.

Sawa kwa imani yako ya jabari Mungu awe nawe
 
Naambiwa JK kaitisha Press Conference muda huu, najaribu kuwasiliana na mwandishi wetu aliye eneo la tukio ili tuwe live nao huko. Mugumu hapatikani kwa simu
 
Hawana ubavu wa kumtosa R.A. Kwa sababu ndio mfadhili wao, their days are numbered.

True inzi kufia kidondani si hasara. Watakapofanya hayo maamuzi magumu watajipongeza iwapo watafanikiwa kutimiza "BORA TUFE WOTE"
 
Naambiwa JK kaitisha Press Conference muda huu, najaribu kuwasiliana na mwandishi wetu aliye eneo la tukio ili tuwe live nao huko. Mugumu hapatikani kwa simu


THANKS MKUU LAKINI KAMA NDO UPUUZI WA KUVUNJA SECRETARIET NA CC HAKUNA HAJA YA KUITISHA PRESS CONFERENCE

Kama ni kuwafukuza akina LOWASA CHNEGE NA RA POA NITAMPA TANO YAO OTHERWISE ITAKUWA UPUUUZI NA KUPOTEZA MUDA WETU
 
Heee asamehewe? kweli RA pamoja na utajiri wake wote lakini hana akili kabisa....yaani baada ya kusema jamani imetosha na sasa najitoa rasmi kwenye siasa,na badala yake anaomba misamaha ili aendelee kuliibia Taifa? yaani mikashifa yote hiyo anayoipata kutoka kwa wananchi bado hatosheki tu? sheenz type ccm

Sitashangaa kigogo mmoja wa ccm akitoa tamko kwamba rostam kaomba msamaha, hivyo tugange yajayo..... maana washazoea kutufanya mandondocha
 
Hivi wajameni kama mafisadi wakiamua kumpindua jk kutoka katika uenyekiti wa chama kuna kosa la uhaini hapo?
Kama sii kosa la uhaini, mie naomba watengeneze huo mkakati ili kuwe na uwezekano wa hili lichama kufa mapema zaidi.
Kwani nani analipenda bana?
.
 
Chombo pekee chenye uwezo wa kubadilisha mwelekeo wa CCM na kukivua gamba la ufisadi ni Mkutano Mkuu wa CCM. Hadi pale chombo hicho kikuu zaidi ndani ya CCM kitakapofanya maamuzi magumuk ya kubadili asili ya CCM mambo mengine yote yatakuwa ni majaribio ya kujinusuru tu na si zaidi ya hicho.
 
Naambiwa JK kaitisha Press Conference muda huu, najaribu kuwasiliana na mwandishi wetu aliye eneo la tukio ili tuwe live nao huko. Mugumu hapatikani kwa simu

Tunasubiri kwa hamu. Tunangojea kama ataambana na yule Shilambata ili tuone nani anakufa cdm au chadema. Utamu huu.
 
Ni baada ya wanachama kutaka watatu hawa wawajibishwe. Press Conference tumekosa mawasiliano ya uhakika.

Zaidi, wameachwa na ubunge wao lakini nafasi nyingine ndani ya chama wamevuliwa!
 
Nothing he has done yet. Amebadilisha brand name ya old wine tu.
 
Chombo pekee chenye uwezo wa kubadilisha mwelekeo wa CCM na kukivua gamba la ufisadi ni Mkutano Mkuu wa CCM. Hadi pale chombo hicho kikuu zaidi ndani ya CCM kitakapofanya maamuzi magumuk ya kubadili asili ya CCM mambo mengine yote yatakuwa ni majaribio ya kujinusuru tu na si zaidi ya hicho.

Huo mkutano mkuu wa ccm si unajua ni mchezo wa kuigiza bana. Mkiti akishaamua ndo basi tena, au?
 
Sawa kwa imani yako ya jabari Mungu awe nawe

Glory and honour be to our Lord Jesus the Alfa and Omega whose plans have never failed in such a way that all creation is perfectly and wonderful made. Ameratibisha mbingu na dunia na hata sikumoja hakuna sayari iliyokosea njia; juwa halikuwahi kugoma kuwaka wala mwezi kuhama sehemu yake ashindwe kuwa adhibu mafisadi? This will be the first time in my life to be disappointed by Him which is like kufanya kesho isiwepo akitokea wakufanya hivyo kuichelewesha kesho kufika kwa sekunde moja basi haya aliyonijulisha some time a go will never happen!
 
Ishi, hivi kujua kwanini CCM ilishindwa mpaka waka-amua kuchakachua matokeo ya uchaguzi mkuu ilihitaji kuajiri consultant? Hata mwenye uelewa mdogo wa darasa la 7 angetoa jibu hilo hilo! "KUKUMBATIA UFISADI na MAFISADI". Sasa kama CCM hawakujua hilo mpaka waka-ajiri consultant basi hakuna wenye hekima CCM.

Mkakati wao walidhania kuwazuia wanafunzi wa vyuo vikuu kupiga kura ingetosha. Nchi inaongozwa na wachuuzi! Wanaostahili kuitwa mafisadi wala siyo viongozi wenyewe, ni akina RA, Vithlani wa rada, nk. Hawa wenzetu wala hakuna la maana waliloambulia ni ujinga mtupu! Mtu anapewa vipesa vya kusomesha mtoto ulaya tayari anauza nchi. Hawa si viongozi hata kidogo ni wababaishaji tu.
 
Back
Top Bottom