Msamaha wanini wakati muomba msamaha bado anamiliki mali za wizi na huku anaendelea kuhujumu uchumi? Mpaka dakika hii anapigana kulifilisi shirika letu pekee la umeme kwa kulidai bil 94 kupitia Dowans ambayo yeye mwenyewe alilazimisha wapewe mkataba, mpaka sasa anakula hela ya taifa kupitia TICTS kwa mkataba mbovu, mpaka sekunde hii Kagoda na pesa nyengine nyingi mno ya EPA haijarudi na madudu mengine mengi tu. Msamaha umpe wa nini? Ukiona mtu mzima anaomba msamaha kwenye mazingira kama haya ujue amewadharau na kuwaona wajinga na wapumbavu wote wanao ombwa mshamaha. Tangu lini mtu anaomba msamaha huku bado anamiliki mali ya wizi na anaendelea kuiba?
Nakumbuka Joke ya mchekeshaji mmoja alipoulizwa "Eti ni kweli Hitler hakufanya lolote jema? Akajibu, "Kitu kikubwa na cha maana alichofanya Hitler ni kufa". So, the only good thing that CCM can do for Tanzania ni KUFA.Kwanza big thanks kwa Mugumu natumaini pia kuwa isije ikawa kama anavyoeleza hapa juu Maishamapya....hizi habari wana JF tuzichukulie kwa umakini zaidi na kwa uangalifu pia...Na ningeshauri si kwa hii habari tu bali na zingine zijazo there many fishy things coming out nowdays...Ila nachelea kusema kuwa mimi naamini kuwa CCM hata waafanye sijui nini sijui overhauling ya chama nothing will work for them ....Serikali yetu yote ni CCM viongozi ambao ni corrupt na wanafanya kazi kwa maslahi ya kundi lao tu hivyo ni imposibble ni sawa na mwafrika kujipaka mkorogo wala hakumbadilishi pua lake wala nywele zake za kipilipili.....
TUENDELEE NA MAPAMBANO......
Na M/kiti wake je?wote wamejiuzulu. TBC radio sasa hivi
Ni baada ya wanachama kutaka watatu hawa wawajibishwe. Press Conference tumekosa mawasiliano ya uhakika.
Zaidi, wameachwa na ubunge wao lakini nafasi nyingine ndani ya chama wamevuliwa!
Ndo hivyo mkuu!Mkuu Invisible vyeo gani walivyonyang'anywa sasa? Ni kutokuwa wajumbe wa CC na NEC au kuna cha zaidi?
Ni baada ya wanachama kutaka watatu hawa wawajibishwe. Press Conference tumekosa mawasiliano ya uhakika.
Zaidi, wameachwa na ubunge wao lakini nafasi nyingine ndani ya chama wamevuliwa!
wote wamejiuzulu. TBC radio sasa hivi
Mwanakijiji nawe mkutano mkuu ni jina tu ni kama muhuri ukiamua kugonga hata kama ni barua ya uongo muhuri hautakukatalia.Chombo pekee chenye uwezo wa kubadilisha mwelekeo wa CCM na kukivua gamba la ufisadi ni Mkutano Mkuu wa CCM. Hadi pale chombo hicho kikuu zaidi ndani ya CCM kitakapofanya maamuzi magumuk ya kubadili asili ya CCM mambo mengine yote yatakuwa ni majaribio ya kujinusuru tu na si zaidi ya hicho.