Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Nimefurahi sana tena sana, kama mh. mwenyekiti kaliona hilo, basi huo ndiyo mwisho wa matapeli ndani ya ccm.

Mkuu ni mapema sana kutoa credit kwa uamuzi huu, unatakiwa kutoa credit pale atakapotangaza secretariat mpya na CC mpya ikiwa na watu wapya kabisa na kuwaacha wote wenye harufu ya ufisadi hata kama waliisha wahi kuwa viongozi wa juu serikalini kama Mkapa etc. Huwezi kumrudisha Mkapa CCM halafu ujisifu kuwa umefanya mabadiliko. Anything shorter than that is a theatrical
 
Hakuna la maana kutoka huko fisadi no. 1 ni baba riz1 kwaiyo naye atoswe 2ingie kwny uchaguzi au?
haaah haaah hapo umenena mwana dah Jk mbna nae fisadi tu, hakuna kitu huko dom ni usanii mtupu!
 
Gamba la CCM ni pamoja na M/Kiti sasa kazi kweli kweli kulivua
 
la maana kubwa ambalo nitashukuru ni pamoja na yeye kutangaza kuwa anaachana na uraisi........leo anajitutumua lkn chanzo cha yote ni yeye......ameona mda uliobaki anaweza asimalize sasa anaanza kutubalidilishia upepo...maana tulianza na al-adaw- akaja babu....dowans...mswaada wa katiba na sasa tunahamia kwenye ccm......
 
Mmmm apo kwa RA na EL nadhani itakuwa ngumu sana ila wakifanikiwa hewara ila nani mwenyeee mwenye ubavu huo ndani ya CCM
 
Nadhani kuna jambo ambalo ccm inaweza kufanya kujiokoa- kujisafisha, kukubali kubadilika, kwenda na wakati.
Watanzania wengi zaidi bado wanaishi kwenye object povery na ndio wanaoishi with less than a dollar a day.
Mahitaji ya watu hawa ni mlo mmoja tuu wa leo regarless kesho watakula nini.
CCM imekuwa ikiutumia udhaifu huu kujipatia ushiondi wa chee, hivyo ikijisafisha, ikabadilika na kwenda na wakati kwa kujua enzi za kura ya mlo mmoja zimepita, enzi za kura za T-shart na kofia pia zimepita, sasa ni enzi za siasa za ukweli, kama CCM nayo itafanya siasa za kweli, wenye njaa watawaelewa na njaa zao na watawaaminia kwa matumaini ya kushibishwa!.

abject poverty
 
Hivi Mwenyekiti wa CCM ndio anavunja Kamati Kuu? Ni yeye ndie aliwateua?
 
RA kwa kweli ameitesa nchi hii. EPA yumo kupitia Kagoda alipopora mabilioni yetu.Eti mjumbe wa CC ya chama tawala lakini anasimamia waziwazi malipo ya ujanja ujanja na ya kifisadi sana ya DOWANS ya mabilioni ya pesa za Watanzania. Hayo ni yale yaliyoibuliwa tu.Mtu kama huyu ni wazi anatutesa sana.Asamehewe na wana CCM lakini naamini Watanzania hatuna msamaha naye.
watu kama hawa wakifa wazalendo tutachekelea na sherehe tutafanya majumbani mwetu.
 
Go on believing in satan and keep silent. We are watching what is happening in Dodoma and we don't like being disturbed. PERIOD
Did I even talk to u?.....whenever u post something about my comments,I will answer!!...and I don't believe in god and satan and angel stories,they just dont make any sense to me!...well,keep on watching and stop being a smart a**
 
Consultant hakuajiriwa kutafuta sababu za kushindwa, bali sababu za kushindwa kuchakachua vema hata baada ya kumwaga mabilioni - maana lengo lilikuwa JK ashinde kwa 80% kama utakumbuka tafiti za kupikwa za redet.

Ushindi wa kuchakachua ni sawa na mtu mweusi tiii, kujipaka mkorogo aonekane mweupe pee! Bado kuna sehemu zinagoma kubadilika, watu wenye akili wakimtazama watajua weupe hou ni wa dukani (bandia)!

Haiwezekani mtu akashinda kwa asilimia nyingi kisha hata kabla ya kumaliza siku 100, watu hao hao waanze kukuzomea kila unapopita-never! Cha kuchakachua lazima siku moja kita kuumbua tu, na ndivyo kinavyotokea CCM kama kwa Bagbo!
 
Gamba la CCM ni pamoja na M/Kiti sasa kazi kweli kweli kulivua


na anapaswa kulivua na sio kuleta mambo ya ajabu hapa...asijifanye yeye ni msafi...hata akichubuka wakati analivua lakini anapaswa kulivua hivyo hivyo
 
hapa hakuna maamuzi mazito ili wanabadlisha office akifuatana na mafisadi wake chenge, lowass, mkapa, RA

Kama ana nguvu na yeye ni kudume awafukuze RA na EL

Otherwise this will be stupid decision ever made by CCM CHAIR




MKUU INVISIBLE

KWANINI UMEBADILI TITLE YA THREAD? WAPI MAAMZI MAZITO? kuvunja CC ndo maamuzi mazito????? give me a break
 
Hapa hakuna maamuzi mazito ili wanabadlisha office akifuatana na mafisadi wake chenge, lowass, mkapa, RA

Kama ana nguvu na yeye ni kudume awafukuze RA na EL

Otherwise this will be stupid decision ever made by CCM CHAIR
 
Nasubiri kusikia chama cha ccm kimekufa thats. God knows how much they damaged this country. Tupe zaidi na nangojea kinachaoendelea

Vipi hii picha hapa chini
GO9G5089.JPG

Nani anataka kujiunga na ccm kama sio mwendawazimu?
 
ohh mimi nimelewa na kukuzwa na protocol....maraa ohhh....kobello kaa kimya post zako na ubishi usio na maana hatuuhitaj hasa katika jukwaa hili na katika thread hii...kama vipi kakojoe then ulale
 
Back
Top Bottom