Wilson Mkama kaukwaa ukatibu mkuu wa CCM, Makamba nje!
Kinana kawa deputy Tz bara, Nape kapelekwa itikadi na Zakhia Meghji kaenda fedha wakati Rehema Nchimbi akienda Organisation

Kama nawaona CHADEMA wanavyoshangilia.
did you say WILSON MUKAMA?