Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mama D unamlaumu mzee Abdul bure! Kwa taarifa yako mzazi anauwezo wa kukumbuka goli lilikufanya mimba liliingia kwa staili gani! Sasa kwa kuwa mama na mwanae wamejitoa ufahamu na kuungana kumdhalilisha kwenye redio ya mwanae basi naye anakunjua makali kidogo wajue kuwa inshu zake za mimba ya Mondi ilivyotinga anaijua vizuri!...
Kuna mambo mengi sana tunapoteza muda kujadili angali ukiangalia ni kama kuku tu.

Ina maana huyu mwenye mimba alikataa? Kama alikataa iweje leo ampe mtoto?
 
Basi inaonekana bi sandra "kakitembeza" sana enzi za ujana wake. Hii familia bana mama malaya, baba malaya, watoto malaya
Watu wamekula sana Mama Diamond, yaani ukimtongoza kwa andazi tu na kikombe cha chai anakuja kulala nyumbani usiku mzima huku akiacha watoto kwa Abdul (Baba feki wa Diamond) akilea. Esma naye anamuiga Mama yake.
 
Ndugu zangu Waislamu na wale wasiokuwa Waislamu au na hata wale vingunge.

Kuna hili jambo linaloendelea katika mitandao kuhusiana na kijana aliejulikana kama Naseeb Abduli ai Diamond Platinum ,whatever ! Hili fukuto linanasibishwa na Uislamu na baadhi ya ndugu zetu wajiitao Mashehe wameingia au kuvutwa katika kutolea hoja jambo hilo.

Nilichokiona na kukusikia kutoka kwa mmoja wa wahusika ambae anasema yeye ndio Baba wa mtoto,ameelezea na katika kuelezea kwa kugusia ndo baada ya kuulizwa Je huyu mama yake Diamond uliwahi kufunga nae ndoa au kumuoa? Jawabu lake alijibu kwa kusema hakuwahi kufunga nae ndoa hata ya mkeka, waliishi pamoja kwa miaka mingi hawakuwahi kufunga ndoa. Kwa maana hiyo walikuwa wazinifu,fulustop.watoto waliowapata wamewapata kwa njia ya uzinifu,ifahamike mtoto hana kosa hata chembe.

Wanataka kuuochomekea Uislamu na vipimo vya DNA, Uislamu unasuala moja tu hapo Je waliowana kama inavyotaka dini ya Uislamu,Kama hilo halipo basi hayo yote ni yao na Uislamu hauna ruhusa ya kushiriki hapo na kama utaingizwa basi hukumu yao watu wawili hao ni kupigwa mawe mpaka wakate roho.

Mashehe mnaotaka kuupaka matope Uislamu kwa kubandikiza aya za kuunga kuunga japo haziungiki kaeni mbali na aibu hizo zinazooibuka ,hayo ni yao na wafuasi wao.
 
Kuna masheikh ambayo tayari wamejiingiza kwenye hili sakata!!?

Au ni wewe umeanza kuhusisha hili sakata na uislam!?

Nimejitahidi kufuatilia (kuwa mbea) kwa ukaribu hili sakata sijaona popote sheikh au kiongozi yeyote wa dini anaongelea Hili.

Kama Kuna unalofahamu zaidi liweke wazi.

Kama ni kuhusu hiyo familia iliyochagua kuishi hayo maisha ni wao, sio suala la uislam Wala DNA Wala dini zingine. Asiyeficha aibu zake hakuna mtu atamfichia.

Mwisho nakushauri Mimi muislam mwenzio isiwe wewe Sasa ukawa ndio unataka kuunganisha upuuzi wa hiyo familia na uislam. Tunaambiwa tusihukumu wenzetu lakini hiyo familia sio ya kusema iwe ni mfano wa waislamu.
 
Ndugu zangu Waislamu na wale wasiokuwa waislamu au na hata wale vingunge.

Kuna hili jambo linaloendelea katika mitandao kuhusiana na kijana aliejulikana kama Naseeb Abduli ai Diamond Platinum ,whatever ! Hili fukuto linanasibishwa na Uislamu na baadhi ya ndugu zetu wajiitao Mashehe wameingia au kuvutwa katika kutolea hoja jambo hilo...
Nashindwa kupata muunganiko wa ishu ya mama Diamond na Uislamu. Nadhani ishu ya watoto wa huyu mama angeachiwa mwenyewe badala ya kuingiza Uislamu kwenye hii ishu.
 
Back
Top Bottom