mchaga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Daezen Maeda wa Ipswich kazawazisha goli dhidi ya Manchester city

    Ni gemu ya premier league inayoendelea sasa hivi ambapo Mancity ilitangulia kufunga dakika ya 19 kupitia Phil Foden. Na baadaye dakika 21 huyu kijana mchaga Daezen Maeda kutoka Rombo anayechezea Ipswich kama mshambuliaji kusawazisha. Safi sana Mangi kutuwakilisha vema. Chaliifrancisco hydroxo...
  2. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Mchumba wake ni Mngoni, lakini Mama Mkwe mtarajiwa ni Mchaga wa damu. Je, aingie mzima mzima au apige gia ya nyuma?

    Wakuu wa jukwaa hili, natumai mko salama. Kuna jambo zito la kiutamaduni na kifamilia limenileta mezani leo kutoka kwa rafiki myangu wa karibu sana wa kiume. Kijana yuko hatua za mwisho za kwenda kutoa mahari na kuoa, lakini amegundua mchanganyiko fulani kwenye familia ya binti unaomnyima...
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu unapoamua kuoa mwanamke mchaga unapaswa kujua haya

    Naandika huu uzi kutokana na tukio linalotrend mtandandaoni kuwa mume amempiga risasi ya kichwa mke kisha kajisalimisha polisi wanavyosema hao wenza walikuwa na mgogoro wa mali demu alitaka wagawane mali. Ni hivi unapooa mchaga lake ni moja ukiwa na mali au mashamba yeye itafikia stage...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  5. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Ukikuta mchaga mwislamu, anakuwa mcha Mungu balaa

    Hapa sizungumzii wachaga wa Machame, Masama, Hai hadi Siha ambao wengi ni waislam Nazungumzia wachaga waislam kutoka Rombo, Marangu, Kibosho na Old Moshi, na Uru na maeneo mengine ya nchi ya Uchagga ukuwakuta hawa ni wachamungu balaa wameshika dini sana Tupe exprience yako ushawahi kuwaona pia?
  6. Sir mgax

    JamiiForums Tanzania Huyu mchaga ni level ya juu sana

    Wachaga ni wasomi sana lakini mbona siwaoni katika nafasi kubwa za uongozi?
  7. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Prado mchaga ya diesel iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 28.5M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA LAND CRUISER PRADO Year: 2002 Engine: 1KD Mileage: 100K Fuel Used: DIESEL Transmission: AUTO ✨Alloy Wheels ✨Android Radio ✨Four Wheels Drive ✅Clean Interior ✅Well-Maintained ✅Exchange Allowed
  8. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje kila nikivutiwa na mwanamke nikimtongoza basi lazima awe mchaga

    Mimi sio mchaga lakini toka nabalehe mpaka kufikia utuuzima huu list ya mabinti na wanawake niliodate nao wachaga wanaongoza kwenye list nawaza sometimes inawezeka ni energy ya kichaga labda inayofanya niwavutie hao nao kuvutiwa nami.. Wazee wa relational experience naomba mniambie hii imekaaje...
  9. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Hivi kama hapa kuna mmeru na mwenzake mchaga pale kuna mnyaki huku yupo mkurya, wote vinanda, utachagua wapi?

    Halafu unaambiwa lazma wali uliwe (ufunge harusi). Utaenda wapi? Zingatia: Hakuna mambo ya NONE of the above (wala kataa ndoa haipo🚮🚮). NB: Muda mwingine inabidi jichomoe akili kidogo, usiwe siriaz kupitiliza🤣
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tutumie tu akili ya kawaida hivi Yesu Kristo ana uhusiano gani na Mchaga, Mmakonde, Msukuma, Mhaya, Mzaramo, Mjita n.k.

    Nauliza tu mna uhusiano gani na Yesu?
  11. Mr Ballo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwenza wa Maisha — Mwenye nia ya dhati tu

    Habari zenu wanajamii, Natumaini mko salama. Nimeamua tena kuweka tangazo hili kwa lengo la kukutana na mwenza wa maisha mwenye nia thabiti na malengo ya dhati. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi Dar es Salaam. Natafuta mwanamke Mkristo mwenye umri wa miaka 25 hadi 35, mwenye...
  12. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Mchaga vs Mkinga

    Kati ya Mangi na mkinga yupo ni hatari zaidi kwenye issue ya business, highest IQ, risk management n.k? Wadau 🫴🏻🫴🏻🫴🏻uwanja ni wenu
  13. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wanapenda kusema "nina Msukuma wangu" na sio kusema nina Mkurya au Mchaga wangu?

    Kuna huu msemo unaelekea kuwa maarufu hasa kwa wanawake. Unakuta mwanamke kaishiwa labda pesa utasikia anasema "nina Msukuma wangu nitamuomba pesa atanipa" au nina Msukuma wangu ananipenda huyo. Kwa nini huwa wanapenda kuwataja hao wanaume wao wa kisukuma in reference to their tribe? Mbona...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mchumba "MKE" - Mchaga, Msukuma au Mhehe / Mbena

    Habarini ndugu zangu 🙏 Tafadhali rejea: MWANZO 24: 1 - 51. WAEFESO 5: 22-33. Naamini Mungu ni mwema wakati wote. Mwenye UHITAJI lakini pia mwenye sifa nilizotaja hapo juu na mwenye hekima na busara anakaribishwa.
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mchaga na Fursa!

    Nawapongeza wachaga Kwa kuchangamkia fursa iwe kwenye Biashara, Siasa au hata Dini NB: Uzuri wana nidhamu Sana katika kutafuta na matumizi, na vitu vinaonekana tofauti na ndugu zetu wa Pwani (Tanga, Pwani, Moro, Mtwara, Lindi na Dar) wao hawapendi kazi Ila starehe kama kazi.
  16. F

    JamiiForums Tanzania Maasai vs Mchaga

    Msonjo amenunua gari kwa ajili ya biashara ya daladala, ameenda kuomba leseni ya usafirishaji abiria. Ikawa hivi:- Msonjo – wewe mama, mupe mimi laseni (leseni) ya gari. Afisa-Leseni (Nkyekuu Minja) – leseni ya udereva au? Gari ya kazi gani? Msonjo – wewe hapana sikia musuri? Asisumbue mimi...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke mchaga

    Natafuta mwanamke mchaga wa kuoa awe mmachame au mrombo itapendeza Umri kuanzia miaka 22.awe tayari kupima na kuolewa ndani ya miezi sita
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kisa cha ndoa ya Mpemba Swala Tano na mwanamke mchaga mkatoliki mwenye msimamo mkali

    Hawa watu walipendana Sana wakaamua kuoana. Lakini Kwa Sababu Hakuna aliekuwa tayari kubadilisha Dini yake kutokana Na misimamo mikali waliyo kuwa nayo, waliamua kufunga ndoa ya Serikali... SIKU WALIYOKUTANA KIMWILI KWA MARA YA KWANZA. Kati Kati ya tendo la Ndoa yule mwanamke Kwa kuzidiwa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania IPhone13 na dada zetu

    Yaan naumia sana kwa sisi wavulana/wanaume kuona wadada zetu hawawezi kujitegemea mpaka now tuna wadharirisha mitandaoni 😭 ili sio vizur na aileti picha nzuri katika jamii serious. Please tuache hii tabia. Na pia wakina dada msijirahisishe sana ni ushauri tu. Note ushauri unaweza kuhufata au...
  20. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Adaiwa kuua mke baada ya kunyimwa unyumba

    Fausta Silayo (22), Mkazi wa Kijiji cha Samanga wilayani Rombo ameuawa kwa kuchomwa kisu na mume wake kwa madai ya kumnyima unyumba. Mwanamke huyo ambaye bado alikuwa uzazi wa mwezi mmoja alichomwa kisu Julai 23 na kupelekea kifo chake Julai 24 wakati alipokuwa amewahishwa Hospitali ya Huruma...
Back
Top Bottom