MC44
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 2,170
- 3,270
Not to that extentBundle tumenunua kwa pesa zetu tuna uhuru wa kuitumia.
Not to that extentBundle tumenunua kwa pesa zetu tuna uhuru wa kuitumia.
Kuna mambo mengi sana tunapoteza muda kujadili angali ukiangalia ni kama kuku tu.Mama D unamlaumu mzee Abdul bure! Kwa taarifa yako mzazi anauwezo wa kukumbuka goli lilikufanya mimba liliingia kwa staili gani! Sasa kwa kuwa mama na mwanae wamejitoa ufahamu na kuungana kumdhalilisha kwenye redio ya mwanae basi naye anakunjua makali kidogo wajue kuwa inshu zake za mimba ya Mondi ilivyotinga anaijua vizuri!...
Kuoa mtu kama Esma ama kuolewa na Diamond ni kujitakia matatizo ya moyo tu.Huyo momo kasemea wapi....
Watu wamekula sana Mama Diamond, yaani ukimtongoza kwa andazi tu na kikombe cha chai anakuja kulala nyumbani usiku mzima huku akiacha watoto kwa Abdul (Baba feki wa Diamond) akilea. Esma naye anamuiga Mama yake.Basi inaonekana bi sandra "kakitembeza" sana enzi za ujana wake. Hii familia bana mama malaya, baba malaya, watoto malaya
Kumekucha! Huu uzi maadam umegusia dini tarajia mafuriko!
Mkuu umeomba ushahidi ukakosekana ?? Huenda mjumbe anaushahidi eti.**** masheikh ambayo tayari wamejiingiza kwenye hili sakata!!?
Nimeuliza mkuu, pamoja na kuasa, hivyo natarajia atujuze zaidi. Hebu rudia kusoma vizuriMkuu umeomba ushahidi ukakosekana? Huenda mjumbe anaushahidi eti
Ndio ua wanajikanyaga Sana kwenye hii familia kisa tu Ina hela.Ukiona shehe anasema WCB au wasafi..
Ujue huyo sio shekhe.. njaa inamsumbua
Ulitaka atoke Nani?Hivi wakiitwa waislam.. Mama Dangote atatoka?
Urasmi wa hilo tangazo ni upi?TANGAZO RASMI - Waislamu kuweni makini na hili la kina Dangote
Anayeujua uislamUlitaka atoke Nani?
Nashindwa kupata muunganiko wa ishu ya mama Diamond na Uislamu. Nadhani ishu ya watoto wa huyu mama angeachiwa mwenyewe badala ya kuingiza Uislamu kwenye hii ishu.Ndugu zangu Waislamu na wale wasiokuwa waislamu au na hata wale vingunge.
Kuna hili jambo linaloendelea katika mitandao kuhusiana na kijana aliejulikana kama Naseeb Abduli ai Diamond Platinum ,whatever ! Hili fukuto linanasibishwa na Uislamu na baadhi ya ndugu zetu wajiitao Mashehe wameingia au kuvutwa katika kutolea hoja jambo hilo...
Kumekucha! Huu uzi maadam umegusia dini tarajia mafuriko!