mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,760
- 35,205
Wanawake hawa jamani
Tumefanyaje
Wanawake hawa jamani
Sasa kama huyo bibi anakuja kuongea pumba zake hizi kweli ni akili zake au bangi?Tumefanyaje
Pumba ni zipi?Sasa kama huyo bibi anakuja kuongea pumba zake hizi kweli ni akili zake au bangi?
Wanawake sahv wanazaa mtoto anapewa baba kama 3,4 hivi hapo kila mtu ana hudumiaa