Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Familia ya kina Diamond kama vile imelaaniwa, hawakai wakatulia kwa amani, kila siku ni matatizo na kashfa zinawaandama.

Abdul Nyange (Abdul Kiba) na familia yao atleast wana stara fulani ya ubinaadamu, wana minimize press kwenye issue za ugomvi wa kifamilia.
 
Unadhani Mungu alikua mjinga aliposema tuishi na ninyi kwa akili?

Think about kwa kutumia akili.
Very sad, unaweza ukapewa vyote ukanyimwa amani, au ni wivu na hasira kuona mzazi mwenzie anafaidika na hakuhangaika na malezi ya mwanae? But still Why Now? Mimi nadhani kulikua na motive kwa hili ila anayejua ni yeye mwenyewe bi. Sandra
 
Basi inaonekana bi sandra "kakitembeza" sana enzi za ujana wake....hii familia bana mama malaya, baba malaya, watoto malaya
Mpaka sasa bado anakitembeza, katoka kunitongoza muda si mrefu nimemwambia mpaka nimkubalie basi anipangie nyumba Tandale kwa Mtogole na aninunulie bajaji, sina gharama sana.
 
Hakuna cha kujifunza hapo... Hapo ni upumbavu wa mwanamke tu..

Diamond nae mpumbavu zaidi. Maana alijua hili zamani.

Upumbavu mtupuu
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom