Malima akamatwe (obstruction of justice)

Malima anataka askari woooote wa nchi hii wakariri sura yake na nambari za magari anayotumia?......swala zima pale alitakiwa amkatie dogo polisi book tano(5,000/) yaishe....au Malima anataka tukumbulishie yale ya guest house morogoro?Malima grow up please!
 
Inawezekana kabisa ukawa umemzidi askari umri, kipato nakadhalika lakini tuheshimu mipaka ya kazi ya kila mmoja askari kazi yake ni kusimamia sheria zilizotungwa na bunge ,,?.

Huyu mzee amekwenda kuegesha gari sehemu isiyoruhusiwa akitumia cheo chake maagizo ma maelekezo aliyo pewa akashindwa ku comply ikapelekea watu wasiokuwa na shughuli kujaa na kuwa tayari kwa lolote....ukisikiliza maneno vizuri kwenye clip inayosambaa watu wana washutumu polisi nyie mmezidi ukimuangalia vizuri dereva wa malima aliyevaa shati kama la jeans ana pandisha hasira mpaka anajipiga makofi mkononi.

Ni dhahiri kabisa kwamba hawa watu wasiokuwa na shughuli walikuwa wako tayari kuwavamia hawa polisi angalia kwa makini clip, hawa yono kila siku wanatukamata na tunalipa faini mbona haiwi ishu huyu anamwambia polisi unajua mimi ni nani?

Polisi anaongea kwa uchungu anasema mbona nyinyi hamheshimu serikali mimi nimeapa ninamkanda wa bendera, lakini watu wasiokuwa na shughuli wanaendelea kubeza...huu ni utawala mwingine yale mambo ya unajua unaongea na nani hayapo tena nchi inaongozwa na taratibu kanuni na sheria ukikiuka ...

Utapigwa tu hope alilala oysterbay police hakuna mtu aliye juu sheria
wapo sana mkuu ambao wapo juu ya sheria, nadhani unawafahamu bila hata kuwasema, hii nchi double standards sana,
 
kaka ulisomea udereva chuoni au ni wale wanaoletewa leseni nyumbani, ukinijibu hapo tu basi nitakuuliza ninachotaka kukuuliza, la sivyo wewe na hao mliolike, kichwani mumejaa uji badala ya ubongo
 
Hongera kwa kumiliki gari lililotumika kwa zaidi ya miaka kumi japani pili nikwambie tu kwamba unatakiwa uwe na busara unapodeal na crown pale double tree kuna diplomatic office shirika la umoja wa mataifa la uhamiaji huwezi kuwa na elimu ya barabarani ukasimamisha gari nje ya ofisi hizi za kibalozi mbona jeshini huwa hampaki hivyo vi passo vyenu na akitokea mwanajeshi akakwambia toa gari huwa hamuulizi alama iko wapi....sasa wewe ongea ila mwenzio ndio kalala oysterbay na vx lake liko nje siyo jeki wala siyo gari I OWN A FLEET.
Ondoa utaahira wako na kejeli za gari lililotumika miaka 10 Japan, yaelekea unaugua kwa kupanda madaladala.

Barabarani kuna sheria zake nazo hazitafsiriwi kwa hisia. Hapo Double Tree hakuna katazo lolote la kupaki. Adhabu hizi hamzijui kwa kuwa sio maeneo yenu ndio maana umekuwa mwepesi kutingisha shanga jukwaani na maneno ya kejeli.

Polisi sio kazi yao kuwakera wananchi. Na ndio maana umeona response ile kutoka kwa umma. Tusiache hoja ya msingi tukakimbilia kwenye hisia na sijui machozi na mapovu ya polisi.

Nenda na wewe kanunue gari jipya basi CMC ndio uje kujadili kero usizojijua
 
Inawezekana kabisa ukawa umemzidi askari umri, kipato nakadhalika lakini tuheshimu mipaka ya kazi ya kila mmoja askari kazi yake ni kusimamia sheria zilizotungwa na bunge ,,?.

Huyu mzee amekwenda kuegesha gari sehemu isiyoruhusiwa akitumia cheo chake maagizo ma maelekezo aliyo pewa akashindwa ku comply ikapelekea watu wasiokuwa na shughuli kujaa na kuwa tayari kwa lolote....ukisikiliza maneno vizuri kwenye clip inayosambaa watu wana washutumu polisi nyie mmezidi ukimuangalia vizuri dereva wa malima aliyevaa shati kama la jeans ana pandisha hasira mpaka anajipiga makofi mkononi.

Ni dhahiri kabisa kwamba hawa watu wasiokuwa na shughuli walikuwa wako tayari kuwavamia hawa polisi angalia kwa makini clip, hawa yono kila siku wanatukamata na tunalipa faini mbona haiwi ishu huyu anamwambia polisi unajua mimi ni nani?

Polisi anaongea kwa uchungu anasema mbona nyinyi hamheshimu serikali mimi nimeapa ninamkanda wa bendera, lakini watu wasiokuwa na shughuli wanaendelea kubeza...huu ni utawala mwingine yale mambo ya unajua unaongea na nani hayapo tena nchi inaongozwa na taratibu kanuni na sheria ukikiuka ...

Utapigwa tu hope alilala oysterbay police hakuna mtu aliye juu sheria

Umetokelezea na huku!!
 
kaka ulisomea udereva chuoni au ni wale wanaoletewa leseni nyumbani, ukinijibu hapo tu basi nitakuuliza ninachotaka kukuuliza, la sivyo wewe na hao mliolike, kichwani mumejaa uji badala ya ubongo
Weka heshima kwa uji, wenzio tumekunywa sana enzi zile nursery inaitwa 'vidudu'. Huyo kichwa chake kimejaa matapishi, sio uji
 
Humiliki hata Jeki Pengine Ndio sababu hujui Ushenzi na ushenzi wa Hawa majembe na Askari

Yeyote Mwenye kumiliki Gari Jijini Dsm anajua Kero za Hawa Askari

Sehemu isiyoruhusiwa ku Park inatambuliwa kwa kibao cha 'No Parking' na Dereva Hana haja ya
Kutafuta kibao cha 'Parking' anaweza ku Paki popote pasipo na Maelekezo asipaki ilimradi iwe Nje ya Barabara.

Gari ya Malima ilikuwa na Dereva ndani ya Gari kitu
Kunachoashiria ilikuwa wameegesha kwa
Muda Mfupi tu
Usinikumbushe machungu jamaa walinikamata eti kwanini nimesimama gari stend ya daladala njia ya kwenda airport tulibishana zaidi ya ugomvi wa malima mwisho wa siku waliweka yard kigari changu nikalipa 50000 nikiwasikia sina hamu nao ni washenzi wa kulazimisha makosa ili wapate pesa...
 
Kuegesha gari vibaya(mahala pasipo ruhusiwa) nikosa ambalo haliendani na kufyatua risasi hewani. Huu ubabe uchwara tu.
Unaweza kupaki kama kuna hitlafu,wamefungua kesi wao wakisema gari ilipata hitlafu watajibu nini?
 
Humiliki hata Jeki Pengine Ndio sababu hujui Ushenzi na ushenzi wa Hawa majembe na Askari

Yeyote Mwenye kumiliki Gari Jijini Dsm anajua Kero za Hawa Askari

Sehemu isiyoruhusiwa ku Park inatambuliwa kwa kibao cha 'No Parking' na Dereva Hana haja ya
Kutafuta kibao cha 'Parking' anaweza ku Paki popote pasipo na Maelekezo asipaki ilimradi iwe Nje ya Barabara.

Gari ya Malima ilikuwa na Dereva ndani ya Gari kitu
Kunachoashiria ilikuwa wameegesha kwa
Muda Mfupi tu
Na sisi RAIA tunaotumia usafiri wa TZ 11 tunajua kero zona is a banishes na ninyi wenye magari kupaki hovyo barabarani,mnaleta msongamano usio na maana barabarani,mnajua kabisa njia hii ni nyembamba na bado mnapaki magari yenu kuleta bugudha
 
Je kama ingekuwa gari linasubiri majambazi? watu wangesema hawafanyi kazi zao kupunguza majanga... huyo kuuliza sijui kama wanajua yeye nani hapana.. tabu pia video zipo vipande vipande hatujaona walikuwa wameanzaje hadi ikafikia hapo..

Ila ningekuwepo hapo ningekimbia, huo mtutu unatisha.

Polisi wangewahoji mashuhuda tujue kwanini alitumia bunduki yake..akiwa polisi amefanya kosa nae alipate ikiwa waliongeleshwa vizuri wakakataa basi nao wafunzwe.

Majambazi wengi sana siku hizi na wanatumia njia hizo hizo kama vile wao watu wana pesaa magari mazuri kumbeeeee ni hatariiiii

(Mods mnaunga threads, niliyoandika naona hayaendani na uzi mliokuja kuunganisha..bora kuanza kumquote mleta mada ieleweke tu...ndio maana kuchangia uzi kunaboaaaaaaaaaa)

Malima, askari na wewe wote mko chama kimoja, CCM. Tunawatizama tu mnavyojichora mubashara.
 
Humiliki hata Jeki Pengine Ndio sababu hujui Ushenzi na ushenzi wa Hawa majembe na Askari

Yeyote Mwenye kumiliki Gari Jijini Dsm anajua Kero za Hawa Askari

Sehemu isiyoruhusiwa ku Park inatambuliwa kwa kibao cha 'No Parking' na Dereva Hana haja ya
Kutafuta kibao cha 'Parking' anaweza ku Paki popote pasipo na Maelekezo asipaki ilimradi iwe Nje ya Barabara.

Gari ya Malima ilikuwa na Dereva ndani ya Gari kitu
Kunachoashiria ilikuwa wameegesha kwa
Muda Mfupi tu
eti dereva yupo ndani wanasema amepaki umeona wapi na kwa aheria zipi wamezidi hawa mara nying utengeneza mianya ya mtu kutoa kitu kidogo lakini awana lolote tumewachoka walala hoi wana nyanyasika sana......

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana kabisa ukawa umemzidi askari umri, kipato nakadhalika lakini tuheshimu mipaka ya kazi ya kila mmoja askari kazi yake ni kusimamia sheria zilizotungwa na bunge ,,?.

Huyu mzee amekwenda kuegesha gari sehemu isiyoruhusiwa akitumia cheo chake maagizo ma maelekezo aliyo pewa akashindwa ku comply ikapelekea watu wasiokuwa na shughuli kujaa na kuwa tayari kwa lolote....ukisikiliza maneno vizuri kwenye clip inayosambaa watu wana washutumu polisi nyie mmezidi ukimuangalia vizuri dereva wa malima aliyevaa shati kama la jeans ana pandisha hasira mpaka anajipiga makofi mkononi.

Ni dhahiri kabisa kwamba hawa watu wasiokuwa na shughuli walikuwa wako tayari kuwavamia hawa polisi angalia kwa makini clip, hawa yono kila siku wanatukamata na tunalipa faini mbona haiwi ishu huyu anamwambia polisi unajua mimi ni nani?

Polisi anaongea kwa uchungu anasema mbona nyinyi hamheshimu serikali mimi nimeapa ninamkanda wa bendera, lakini watu wasiokuwa na shughuli wanaendelea kubeza...huu ni utawala mwingine yale mambo ya unajua unaongea na nani hayapo tena nchi inaongozwa na taratibu kanuni na sheria ukikiuka ...

Utapigwa tu hope alilala oysterbay police hakuna mtu aliye juu sheria

Ni kweli hakuna aliye juu ya sheria hata Polisi hayuko juu ya sheria... Ipo siku na hakika siku hiyo yaja, haya yaliyompata Malima Yatagonga hodi sebuleni kwako au kwa wapendwa wako! ndiposa utajua kua juu ya sheria maana yake nini...

Nikukumbushe tu yaliyotokea jana yamezoeleka huko Somalia, Afghanistan, Syria, Ukanda wa Gaza etc etc! Endelea kutumikia tumbo ila ipo siku
 
polisi kweli ni kilaza lakini Malima naye ni mjinga......malima anataka askari woooote wa nchi hii wakariri sura yake na nambari za magari anayotumia?......swala zima pale alitakiwa amkatie dogo polisi book tano(5,000/) yaishe....au Malima anataka tukumbulishie yale ya guest house morogoro?Malima grow up please!
Alitakiwa ampe ya kubrush viatu mkuu
 
Je kama ingekuwa gari linasubiri majambazi? watu wangesema hawafanyi kazi zao kupunguza majanga... huyo kuuliza sijui kama wanajua yeye nani hapana.. tabu pia video zipo vipande vipande hatujaona walikuwa wameanzaje hadi ikafikia hapo..

Ila ningekuwepo hapo ningekimbia, huo mtutu unatisha.

Polisi wangewahoji mashuhuda tujue kwanini alitumia bunduki yake..akiwa polisi amefanya kosa nae alipate ikiwa waliongeleshwa vizuri wakakataa basi nao wafunzwe.

Majambazi wengi sana siku hizi na wanatumia njia hizo hizo kama vile wao watu wana pesaa magari mazuri kumbeeeee ni hatariiiii

(Mods mnaunga threads, niliyoandika naona hayaendani na uzi mliokuja kuunganisha..bora kuanza kumquote mleta mada ieleweke tu...ndio maana kuchangia uzi kunaboaaaaaaaaaa)
hata ukiwa sehemu uluhusiwi kusimama mara nying unafatwa na kuambiwa uluhusiw kusimama hapa unaitajika kuondoka ila si umesimama hapa twende kule wanataka kukupeleka wapi.... hata ukiwa benk unambiwa hapa maluhusiwi zaid ya dk kaza unaitajika kusepa kwa sababu zakiusalama ila kwa ile hali kiukweli wamekosea ...

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana kabisa ukawa umemzidi askari umri, kipato nakadhalika lakini tuheshimu mipaka ya kazi ya kila mmoja askari kazi yake ni kusimamia sheria zilizotungwa na bunge ,,?.

Huyu mzee amekwenda kuegesha gari sehemu isiyoruhusiwa akitumia cheo chake maagizo ma maelekezo aliyo pewa akashindwa ku comply ikapelekea watu wasiokuwa na shughuli kujaa na kuwa tayari kwa lolote....ukisikiliza maneno vizuri kwenye clip inayosambaa watu wana washutumu polisi nyie mmezidi ukimuangalia vizuri dereva wa malima aliyevaa shati kama la jeans ana pandisha hasira mpaka anajipiga makofi mkononi.

Ni dhahiri kabisa kwamba hawa watu wasiokuwa na shughuli walikuwa wako tayari kuwavamia hawa polisi angalia kwa makini clip, hawa yono kila siku wanatukamata na tunalipa faini mbona haiwi ishu huyu anamwambia polisi unajua mimi ni nani?

Polisi anaongea kwa uchungu anasema mbona nyinyi hamheshimu serikali mimi nimeapa ninamkanda wa bendera, lakini watu wasiokuwa na shughuli wanaendelea kubeza...huu ni utawala mwingine yale mambo ya unajua unaongea na nani hayapo tena nchi inaongozwa na taratibu kanuni na sheria ukikiuka ...

Utapigwa tu hope alilala oysterbay police hakuna mtu aliye juu sheria
Tz tunaamin kuwa cku zote askar ni mwonevu wa raia so lazm nao 2wachukie ata kwa kile kizur watakacho kifany cc tutaona wamekoseaa!!
 
Barabarani kuna makatazo ya aina tatu kuhusu kusimamisha gari:

1. NO STOPPING
- Hapa hupaswi kusimama kabisa.

2. NO STANDING
- Hapa unaweza kusimama (STOP) kwa muda mfupi sana wakati unachukua kitu au abiria.

3. NO PARKING
- Hapa unaweza kuegesha (STAND) kwa muda mrefu kidogo lakini wakati wote lazima dereva awe ndani ya gari na engine ikiwa imewaka.

PARKING ina maana:
- umeegesha gari, dereva hayumo ndani, limezimwa, na milango imefungwa.

Sijui kilichotokea Masaki lakini hizo ndio
sheria za barabani.
sasa gari lilikuwa limesimama ila si kupaki kwani dereva alikuwa ndani ya gari pembezoni mwa barabara hivyo walipaswa kumwamulu kuondoka kama kulikuwa kuna viashiria vyovyote vya kiusalama na kama kulikuwa na kibao ambacho kina mwamulu kutokusimama kuna taratibu pia ..
Mtu mwenye akili na burasa hawezi tumia nguvu nyingi siku zote.

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 
Eti askari anadai amevaa mkanda wenye bendera na kaapa! Wanavyokula rushwa na kunyanyasa wananchi wasio na hatia uwa napo wameapa kufanya hivyo?
 
Back
Top Bottom