Barabarani kuna makatazo ya aina tatu kuhusu kusimamisha gari:
1. NO STOPPING
- Hapa hupaswi kusimama kabisa.
2. NO STANDING
- Hapa unaweza kusimama (STOP) kwa muda mfupi sana wakati unachukua kitu au abiria.
3. NO PARKING
- Hapa unaweza kuegesha (STAND) kwa muda mrefu kidogo lakini wakati wote lazima dereva awe ndani ya gari na engine ikiwa imewaka.
PARKING ina maana:
- umeegesha gari, dereva hayumo ndani, limezimwa, na milango imefungwa.
Sijui kilichotokea Masaki lakini hizo ndio
sheria za barabani.