Haaaaaa! Kumbe ndo mlivyo mnaanza kufyatua juu kisha kwenye vitambi. Hayo maelekezo mnayofuata mjue yanamwisho.Sheria gani unayoijua ambayo askari hakuifata hapo, unakijua kisa kilianzia wapi mpaka askari mwenye siraha kutoka ndani ya gari???.
Kwa akili yako unadhani askari alitakiwa kuita traffic police, sasa sjui nini lengo la yeye kuwa pale na hao majembe????
Kushangaa hukatazwi,wewe kashangae tu ila usimzonge askari atakumwaga utumbo, baada ya kuelekezwa juu kule, kilichokuwa kinafuata ni kwenye vitambi vyao kama wasingetawanyika.
Tulivyo mimi na nani??Haaaaaa! Kumbe ndo mlivyo mnaanza kufyatua juu kisha kwenye vitambi. Hayo maelekezo mnayofuata mjue yanamwisho.
Obstruction of justice is a general term which include intimidation of witness, tempering with evidence obstructimg an officer and much more.....refer to CPA crime procedure act kwa kiswahili mwenendo wa makosa ya jinaiInawezekana kabisa ukawa umemzidi askari umri, kipato nakadhalika lakini tuheshimu mipaka ya kazi ya kila mmoja askari kazi yake ni kusimamia sheria zilizotungwa na bunge ,,?.
Huyu mzee amekwenda kuegesha gari sehemu isiyoruhusiwa akitumia cheo chake maagizo ma maelekezo aliyo pewa akashindwa ku comply ikapelekea watu wasiokuwa na shughuli kujaa na kuwa tayari kwa lolote....ukisikiliza maneno vizuri kwenye clip inayosambaa watu wana washutumu polisi nyie mmezidi ukimuangalia vizuri dereva wa malima aliyevaa shati kama la jeans ana pandisha hasira mpaka anajipiga makofi mkononi.
Ni dhahiri kabisa kwamba hawa watu wasiokuwa na shughuli walikuwa wako tayari kuwavamia hawa polisi angalia kwa makini clip, hawa yono kila siku wanatukamata na tunalipa faini mbona haiwi ishu huyu anamwambia polisi unajua mimi ni nani?
Polisi anaongea kwa uchungu anasema mbona nyinyi hamheshimu serikali mimi nimeapa ninamkanda wa bendera, lakini watu wasiokuwa na shughuli wanaendelea kubeza...huu ni utawala mwingine yale mambo ya unajua unaongea na nani hayapo tena nchi inaongozwa na taratibu kanuni na sheria ukikiuka ...
Utapigwa tu hope alilala oysterbay police hakuna mtu aliye juu sheria
Goes to show, this particular case has to do with "obstructing a police officer" and NOT "obstruction of justice" which has a totally different meaning and applications.
Obstruction of justice is a general which include intimidation of witness, temperimg with evidence, obstructing law enfoercement officer and much more refer to CPA criminal procedural act kwa kiswahili mwenendo wa makosa ya jinai....ukipelekwa mahakamani ambayo wanaendesha mahakama kwa kizungu huyo mtu atasomewa shitaka la obstruction of justice kwa mahakama za kiswahilinayasomewa shitaka linaitwa kuingilia jamuhuri......next time have your facts rightEti "obstruction of justice"??? What "justice" are you referring to? Hii labda umesikia tu CNN au NYPD Blue lkn huelewi maana yake. The concept doesn't apply here. Obstructing a law enforcement officer would have been more appropriate in this situation.
Wewe na wale wafyatuaji wenzio!Tulivyo mimi na nani??
Mwisho wa hayo ni kuondoa ujuaji tu, na si vinginenyo.
Sasa malima akjitetee kwamba hakuona taraffic pale ndio maana akawa mkali.Wewe na wale wafyatuaji wenzio!
Nyie ndo wajuaji mnao dhani hao kibarua wa majembe wana mamlaka zaidi ya maaskari wa usalama barabarani!
Non-sense kabisa.
Unazungumzia majembe ambao wapo Dar pekee kwa Tanzania nzima je? Kosa kama lile likitokea mikoani na majembe hawapo hivyo suluhisho ni kufyatua hayo madude yenu.
Not true. Prove it!Obstruction of justice is a general which include intimidation of witness, temperimg with evidence, obstructing law enfoercement officer and much more refer to CPA criminal procedural act kwa kiswahili mwenendo wa makosa ya jinai....ukipelekwa mahakamani ambayo wanaendesha mahakama kwa kizungu huyo mtu atasomewa shitaka la obstruction of justice kwa mahakama za kiswahilinayasomewa shitaka linaitwa kuingilia jamuhuri......next time have your facts right
Are you trying to suggest that the mere presence of a police officer(s) in a situation like Mr. Malima found himself in, is synonymous to representation of justice?Obstruction of justice is a general term which include intimidation of witness, tempering with evidence obstructimg an officer and much more.....refer to CPA crime procedure act kwa kiswahili mwenendo wa makosa ya jinai
Cha msingi ni kujiepusha na mazingira ya namna ile, maana next time atashusha bunduki na kuwararua watu hao kama wataona ni kawaida tu.Saivi lisha anza kuwa jambo la kawaida kutishia bunduki Tz mbele za watu, kitaanza kuwa kitendo cha kawaida sana hapo baadae....... Mi nasimama upande wa malima kama mwananchi alifanya kosa lakn askari kakosea zaidi, ni upuuz kisa kosa kama hilo kufyatua risasi mbele za watu vile.... Tunakwenda wapi
Na kiboga alitakiwa kugongewa na akamwage mtondoo na afanye usafi kituoni.walikua wanadhani sheria wazitungazo ni kwa ajili ya nani sasa?!mwaga mboga nimwage ugali na jiko tumwagie maji...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Inawezekana kabisa ukawa umemzidi askari umri, kipato nakadhalika lakini tuheshimu mipaka ya kazi ya kila mmoja askari kazi yake ni kusimamia sheria zilizotungwa na bunge ,,?.
Huyu mzee amekwenda kuegesha gari sehemu isiyoruhusiwa akitumia cheo chake maagizo ma maelekezo aliyo pewa akashindwa ku comply ikapelekea watu wasiokuwa na shughuli kujaa na kuwa tayari kwa lolote....ukisikiliza maneno vizuri kwenye clip inayosambaa watu wana washutumu polisi nyie mmezidi ukimuangalia vizuri dereva wa malima aliyevaa shati kama la jeans ana pandisha hasira mpaka anajipiga makofi mkononi.
Ni dhahiri kabisa kwamba hawa watu wasiokuwa na shughuli walikuwa wako tayari kuwavamia hawa polisi angalia kwa makini clip, hawa yono kila siku wanatukamata na tunalipa faini mbona haiwi ishu huyu anamwambia polisi unajua mimi ni nani?
Polisi anaongea kwa uchungu anasema mbona nyinyi hamheshimu serikali mimi nimeapa ninamkanda wa bendera, lakini watu wasiokuwa na shughuli wanaendelea kubeza...huu ni utawala mwingine yale mambo ya unajua unaongea na nani hayapo tena nchi inaongozwa na taratibu kanuni na sheria ukikiuka ...
Utapigwa tu hope alilala oysterbay police hakuna mtu aliye juu sheria
Bora ya ujuaji wa watz unaowasema wewe kuliko kujua kitu usichokijiua.Sasa malima akjitetee kwamba hakuona taraffic pale ndio maana akawa mkali.
Mbona watz ni wajuaji hivi kwenye hamna???
Sir , refer to criminal procedure act of 1985 article 14 section b (attached) below, right to arrest without warrant yani haki ya ukamataji bila hati mr Malima wa Obstructing this officer from conducting this act. As he wasnt the one who parked the vehicle he was defending his driver who was guilty of denying authority order...Are you trying to suggest that the mere presence of a police officer(s) in a situation like Mr. Malima found himself in, is synonymous to representation of justice?
You are using the concepts "Obstructing a Police Officer" and "Obstruction of Justice" interchangeably, which is wrong! In addition, you have failed to provide definition of "Obstruction of Justice" as laid out in the CPA. I think i have made my point. I am out!!Sir , refer to criminal procedure act of 1985 article 14 section b (attached) below, right to arrest without warrant yani haki ya ukamataji bila hati mr Malima wa Obstructing this officer from conducting this act. As he wasnt the one who parked the vehicle he was defending his driver who was guilty of denying authority order...![]()
Wakat nae ANAKUNYA TUSimpendi mtu wa kujigamba eti 'Hunijui mimi ni nani'..
Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
Shangaa....Wakat nae ANAKUNYA TU
Obstructing justice; penaltyYou are using the concepts "Obstructing a Police Officer" and "Obstruction of Justice" interchangeably, which is wrong! In addition, you have failed to provide definition of "Obstruction of Justice" as laid out in the CPA. I think i have made my point. I am out!!
Obstructing justice; penalty
A. If any person without just cause knowingly obstructs a judge,magistrate, justice, juror, attorney for the Commonwealth, witness, any law-enforcement officer, or animal control officer employed pursuant to § 3.2-6555 in the performance of his duties as such or fails or refuses without just cause to cease such obstruction when requested to do so by such judge, magistrate, justice, juror, attorney for the Commonwealth, witness, law-enforcement officer, or animal control officer employed pursuant to § 3.2-6555, he shall be guilty of a Class 1 misdemeanor.
B. Except as provided in subsection C, any person who, by threats or force, knowingly attempts to intimidate or impede a judge, magistrate, justice, juror, attorney for the Commonwealth, witness, any law-enforcement officer, or an animal control officer employed pursuant to § 3.2-6555 lawfully engaged in his duties as such, or to obstruct or impede the administration of justice in any court, is guilty of a Class 1misdemeanor.
C. If any person by threats of bodily harm or force knowingly attempts to intimidate or impede a judge, magistrate, justice, juror, attorney for the Commonwealth, witness, any law-enforcement officer, lawfully engaged in the discharge of his duty, or to obstruct or impede the administration of justice in any court relating to a violation of or conspiracy to violate § 18.2-248 or subdivision (a) (3), (b) or (c) of § 18.2-248.1, or § 18.2-46.2 or § 18.2-46.3, or relating to the violation of or conspiracy to violate any violent felony offense listed in subsection C of § 17.1-805, he shall be guilty of a Class 5 felony.
D. Any person who knowingly and willfully makes any materially false statement or representation to a law-enforcement officer or an animal control officer employed pursuant to § 3.2-6555 who is in the course of conducting an investigation of a crime by another is guilty of a Class 1misdemeanor.