Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,151
- 51,842
Kwa hiyo gari la adam malima lilikuwa kinasubiri majambazi. Damn man.... embu leta point yenye mashiko..Je kama ingekuwa gari linasubiri majambazi? watu wangesema hawafanyi kazi zao kupunguza majanga... huyo kuuliza sijui kama wanajua yeye nani hapana.. tabu pia video zipo vipande vipande hatujaona walikuwa wameanzaje hadi ikafikia hapo..
Ila ningekuwepo hapo ningekimbia, huo mtutu unatisha.
Polisi wangewahoji mashuhuda tujue kwanini alitumia bunduki yake..akiwa polisi amefanya kosa nae alipate ikiwa waliongeleshwa vizuri wakakataa basi nao wafunzwe.
Majambazi wengi sana siku hizi na wanatumia njia hizo hizo kama vile wao watu wana pesaa magari mazuri kumbeeeee ni hatariiiii
(Mods mnaunga threads, niliyoandika naona hayaendani na uzi mliokuja kuunganisha..bora kuanza kumquote mleta mada ieleweke tu...ndio maana kuchangia uzi kunaboaaaaaaaaaa)
Majambaz yanajulikana na raia wanajulikana...
Jambaz gan yuko hivyo...?