Kwanza Mods inafaa hii ihamishwe/iunganishwe.. kwenye uzi husika . Pili wewe hujui kilichotokea umebuni kwa kujidai ni mganga wa kutafsir clip...Hivi wapi imeandikwa kwamba ukijibizana na mtu aliyekuwa kiongozi unakoki silaha?
Ushauri kwa mamlaka..askali polisi wahakikiwe vyeti na waliofoji uwekwe mpango...Askali wa leo anatakiwa aende na sayansi na technolojia sio kutoa silaha hadharani. Hivi katika hali ya kawaida wewe kama unamiliki silaha unaitoa au kuitumia wakati upi. Moja pili, katika umma wa watz wapi inastahili kutoa silaha hadharani ..pale kwa malima are you mad?
Hemb nendeni zenu sijui mnatetea upuuz gani...pale kama ni makaz ya watu unawafundisha nn? watoto, raia, unadhan pale nini kimejenga kuwa ishu, malima au polisi kupiga risasi juu..
Kisheria pale anapiga mashine ile juu ili ikapige nini kule juu...dah jamani tusomeni shule ni muhimu.
katik mazingira ya kawaida askal wa namna hii hawawezi kufanya mazingira ya utendaaji kazi wa rais kuwa salama, ni kumpa hedeki tu amiri jeshi..na kumtega...labda ili MKUU WA POLISI ACHUKUE HATUA RAIS AIBARIKI..MNASABABISHA WAKUBWA WAPATE WAKATI MGUMU.
simtetei malima..ni kosa acha askal miaka hii hata mtoto mchanga ukikutana kam hajakusalimia msalimie....dogo hujambo ili akupe shikamoo au asikupe ..lkn wewe umemsalimu hiki ndio kizazi cha sasa
askali ni kama dogo malima alikuwa aombe radhi na kuomba apewe heshma yake ya zamani kuwa wzir , msomi nk..huku akiheshimu wenzie...
lkn askali sio kupiga mashine juu, acheni ujinga ..askali alikosea sana..na malima kwa upande wake..
KUHUSU majembe..hawa siwapendi na kwa nionavyo mzee magu hajafikia huko tuu atapiga marufuku, majembe sijui nani...ni wanyanyasaji..sasa unaona badla ya kudeal na wasumbufu MAJEMBE mnagombana watu wa kawaida askali vs malima. na kuacha ishu ya msingi kupotezewa...